Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
OoohUsikimbie nna zawad yako ya bday
Iko wapi vilee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OoohUsikimbie nna zawad yako ya bday
Uje uichukue unataka niiweke hapa kila mtu aioneOooh
Iko wapi vilee
Iwe tuu bhana, si zawadi auUje uichukue unataka niiweke hapa kila mtu aione
Ahaa mbona hukuja kuiomba hadharan sasa kama ni zawad tu?Iwe tuu bhana, si zawadi au
HeeeAhaa mbona hukuja kuiomba hadharan sasa kama ni zawad tu?
Sasa kama nnyo ndio niweke hapa sasa jaman mbona hujiongezi lakinHeee
Yamekuwa hayoo tenaa jamani, we ndo umesema uko na zawadi yangu.....
Nifichie basi ntamtuma Shunie baadae, SawaSasa kama nnyo ndio niweke hapa sasa jaman mbona hujiongezi lakin
Haha ha ha mtume huyo huyo aje aiseeShunie ndo namuamini bhana
Af mie sio kaka yako bwana mie mkaka tu sio kaka yako kwan tumazaliwa na baba mmoja?
Sawaa mkakaAf mie sio kaka yako bwana mie mkaka tu sio kaka yako kwan tumazaliwa na baba mmoja?
Maswala ya kuitana kaka ndio siyatakSawaa mkaka
Mbona umekuwa mkalii ghafla
[emoji2] [emoji2]Usikimbie nna zawad yako ya bday
Shikamoo hivi bamdogo angu ana id ngapiii[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
weka hapaaUje uichukue unataka niiweke hapa kila mtu aione
Kwanza zawadi gani me naogopa jaman kwenda kwa mwanaume peke yangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mbona mimi nikikuita kaka haukataiAf mie sio kaka yako bwana mie mkaka tu sio kaka yako kwan tumazaliwa na baba mmoja?