Ijue Couple inayokuja kwa kasi JF baina ya Baby Daby na Baby Valentina

Ijue Couple inayokuja kwa kasi JF baina ya Baby Daby na Baby Valentina

Kila utambulisho huwa unasema hivyo hivyo. Mie sitaki tena kwakweli. Utanitambulisha siku ya harusi maybe ndio nitakuelewa.
Haya kalale maana mim na wewe haujawahi kuelewana kwenye mapenzi na ugawanaji wa pesa.
 
Hahahah mmoja kabaki kumbe unafika mpaka huku bamdogo akamwambia kama sifiki ndio una uwezo wa kunisema nimecheka sana ila bamdogo lazima nimuulize nikimuona nijiridhishe
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Back
Top Bottom