Ijue Couple inayokuja kwa kasi JF baina ya Baby Daby na Baby Valentina

Ijue Couple inayokuja kwa kasi JF baina ya Baby Daby na Baby Valentina

Huo ndio urithi pekee alomuachia mdogo wangu baada ya kumwagana.
Hata kumbukumbu za kaplot au kanoah au hata kamkufu ka dhahabu hakuna ni uchawi tu. Kweli kua uyaone
 
Ama kweli mnaenjoy. mungu awape nini. Nitamleta huyu kanisani kwenu.

Msalimie sumbai muwe na wakati mzuri shemeji.
Asante sana . karibu sana mlete.
Pia Mtoto watu P... Anakusalimu sana , hadi sasa hajalala
 
Hajambo kabisa mamy .
Basi tangu Daby ajue basi ni kuniita mama P tuu kunizibia rizki
Haha.. kumbe huwa naharibu mambo.

Basi sasa hivi nitakuwa nakuita mdogo wangu ili wakuone mbichi. Hapa mjini kuvurugiana mipango sio
 
Back
Top Bottom