Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ndio urithi pekee alomuachia mdogo wangu baada ya kumwagana.Hahaha niliona sehemu wanatambiana na mshana
Hata kumbukumbu za kaplot au kanoah au hata kamkufu ka dhahabu hakuna ni uchawi tu. Kweli kua uyaoneHuo ndio urithi pekee alomuachia mdogo wangu baada ya kumwagana.
Asante sana . karibu sana mlete.Ama kweli mnaenjoy. mungu awape nini. Nitamleta huyu kanisani kwenu.
Msalimie sumbai muwe na wakati mzuri shemeji.
Kafungulie account humu JF..kawe kanatuamkiaAsante sana . karibu sana mlete.
Pia Mtoto watu P... Anakusalimu sana , hadi sasa hajalala
asante mamaa unajiamin mwambie Daby nae ajiamin kama wewHakuna wa kuvuruga furaha yetu baby... Watashindwa kwa majina yetu
Watakatongoza, kuna watu huku hawana dogoKafungulie account humu JF..kawe kanatuamkia
Marahabaaa! Haujambo?Watakatongoza, kuna watu huku hawana dogo
Sijambo dear.Marahabaaa! Haujambo?
P wetu hajambo?Sijambo dear.
Shikamoo basi
Na sasa hivi ninaloga zaidi yakeeNoah wapiii cute b aliambulia uchawi tu.
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Na sasa hivi ninaloga zaidi yakee
Hajambo kabisa mamy .P wetu hajambo?
Jamani Dada.mshana jr alikafundisha uchawi, kanaroga hadi kuku haka katoto.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Jamani Dada.
Ha ha ha
Nataka niwe na wewe mileleNimeubeba nipo Arusha Raha nakuletea.
Tell her babyWewe huyu ndiyo yeye yeye. Uzuri tena ni shoga yako mpokee tu.
Hadi nimetema mate chini