Ijue Hadhi ya Ubalozi, its Rights & Privileges. Wajua Kufutwa Ubalozi Dr. Slaa Hakutokani na Ukosoaji wa Bandari na Anaweza Kurejeshewa Ubalozi Wake?

Uhuru wa kueleza maoni yako yanamipaka mkuu sasa huyu Dkt alivuka mipaka lugha aliyokuwa anaitumia haina staha Wala adabu kwa Mkuu wa Nchi
 
Labda kutokana na yale matamshi yake makali yaliyorekodiwa kwenye clip iliyokuwa inatembea sana mitandaoni wahusika katika sheria huko Serikalini wameona Dr anapaswa kupandishwa kizimbani akajibu mashtaka !

Kwahiyo kabla ya kupandishwa ni lazima kwanza avuliwe hiyo heshima ya Balozi !!
 
Uhuru wa kueleza maoni yako yanamipaka mkuu sasa huyu Dkt alivuka mipaka lugha aliyokuwa anaitumia haina staha Wala adabu kwa Mkuu wa Nchi
Weka ushahidi hapa wa hiyo lugha ya Dr Slaa iliyovuka mipaka.

Huyu Mama amejipambanua (kwa wenye akili) ni mpenda kusifiwa hata pale anapoboronga. Wewe tazama tu wasifiaji wengi wa mkataba wa bandari kama sio wote wanapewa teuzi (Prof Kitila, Jerry Silaa nk) huku wakosoaji wote wakizongwa zongwa na pilice na sasa Dr Slaa kavuliwa hiyo hadhi ya ubalozi.

Huitaji elimu ya degree kuyaona hayo!!.
 
Siyo kwa utawala chini ya ccm
 

Aiseeee una hoja paskali, hii ni Alert.
 
Aisee mwanasheria umepuyanga sana MUNGU akusamehe.....Privileges , rights na immunity balozi anainjoi akiwa kwenye majukumu yake huko ubalozini ila ukirudi ndani mwenye kinga dhidi ya makosa ya kijinai ni Rais pekee
 
Tupe jamvi hilo tubiringike nalo weekend hii!
 
Paskali
Mwandishi ni mwana habari aliyefanya kazi ubalozi fulani kwa miaka 4, ila kufutia fani yake ya uandishi wa habari, ametembelea Balozi za Tanzania katika nchi nyingi za Africa, Ulaya. Asia na America.
Tumesema sana humu wakuwekee ukurasa wako utakaokuwa na mababdiko yako elimishi tu, lakini hawatusikii hawatuelewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…