Ijue Hadhi ya Ubalozi, its Rights & Privileges. Wajua Kufutwa Ubalozi Dr. Slaa Hakutokani na Ukosoaji wa Bandari na Anaweza Kurejeshewa Ubalozi Wake?

Tujuze ubalozi ulikofanyia kazi. Au ni siri?
 
Kwa mfano baada ya kufutiwa hadhi hyo ya ubalozi Dr Slaa ikitokea mwananchi yeyote akaendelea kumuita BALOZI DR. SLAA kisheria mtu huyo atakuwa ametenda kosa gani?. Tuwaelimishe wananchi wasije jikuta matatani bure.
 
Mimi sio mshauri wa yoyote, ni mtu tuu mwenye ufahahamu wa issues za kidplomasia hivyo kujitolea kuelimisha watu humu kuhusu mtu kufutiwa hadhi ya Ubalozi Hakutokani na Ukosoaji, bali kufutiwa kule ni Zinduna tuu, Ambari iko nyuma...

Mwandishi ni mwana habari aliyefanya kazi ubalozi fulani kwa miaka 4, ila kufutia fani yake ya uandishi wa habari, ametembelea Balozi za Tanzania katika nchi nyingi za Africa, Ulaya. Asia na America.

Ila umesema unafanya kazi kwenye ubalozi kwa miaka 4 huoni kama unajichanganya?
Matumizi ya neno kwa katika sentensi yako yanaonyesha Neno "Currently still work here" maana bado unafanya kazi kwenye huo ubalozi....

Kaka Pascal Mayalla Nakujua wewe ni zaidi kuliko unachofanya sasa hebu pumzika kwanza
 
 

Attachments

  • 5445242-a099e46886f7333b8f45014a65f518eb.mp4
    243.6 KB
Hivi ambari hunukia ? Na kwanin zinduna akionekana ujue ambari ipo nyuma?
Nashkuru kwa elimu wengi walikua ngumbaro hawajui kumbe watu weng tu wamevuliwa hadhi ilikua sijui.
Wengi wanapiga kelele hwwajawah kufika hata ubaloz wa tanzania burundi. Ikiwemo mie sijui hata mlango mmoja wa ubaloz unafananaje
 
Kwamba ikithibitishwa siyo Mhaini wanarudishwa hadhi yake ya Ubalozi!? Yah yah yah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…