Haaaaaaaa MuraaaaaaaaItakiwa
Kuna ukweli kuwa viongozi wa sasa wa Serikali na wa CCM ni wanasiasa wenye malengo na agenda binafsi, ambao wanastahili kuondolewa madarakani.Nakuonea huruma wewe chawa wa jiwe
Ccm ni majizi wa kura na rasilimali za nchi hivyo mjiandae kutupiwa virago na elewa kuwa kama siyo leo basi ni kesho.Kuna ukweli kuwa viongozi wa sasa wa Serikali na wa CCM ni wanasiasa wenye malengo na agenda binafsi, ambao wanastahili kuondolewa madarakani.
Lakini, je, viongozi wa upinzani wana mikakati thabiti na malengo ya kitaifa kiasi cha kuaminiwa na Wananchi? Hoja kuwa CCM huiba kura, ni hoja dhaifu na ya kitoto.
Hivyo basi, Mmawia, wewe na wapinzani wenzako, mjitathimini wapi mnakwama na mnaingiaje IKULU, badala ya kila siku kurukia matukio, kutuhumu, kushutumu, kubeza, kutukana, nk. watawala na viongozi wa chama chao
Upinzani haujawa tayari CCM kutupiwa virago, kwa namna na jinsi viongozi wake wanavyoendesha siasa. Ni wanaharakati zaidi kuliko wanasiasa. Wengi wao, kama siyo wote, wanasukumwa na ubinafsi. Wana maono ya kitaifa, lakini mioyoni mwao ni majizi wa kutupwaCcm ni majizi wa kura na rasilimali za nchi hivyo mjiandae kutupiwa virago na elewa kuwa kama siyo leo basi ni kesho.
Ccm tumewachokaUpinzani haujawa tayari CCM kutupiwa virago, kwa namna na jinsi viongozi wake wanavyoendesha siasa. Ni wanaharakati zaidi kuliko wanasiasa. Wengi wao, kama siyo wote, wanasukumwa na ubinafsi. Wana maono ya kitaifa, lakini mioyoni mwao ni majizi wa kutupwa
Ccm ni zaidi ya uhuni wanafanya kwa wananchi.Pascal Mayalla umeandika vizuri lakini ujue asilimia zai ya 90 ya wananchi wanajua sababu Ni DP W.
Lakini pia mam a ajue kitendo hichi kukifanya at this juncture kimempunguzia umaarufu hata ndani ya chama chake.
Pili. Kama ulivyosema kila mtu ana haki ya kukosoa, mbona Dr. Slaa walimkamata Tena kishamba kabisa na kumficha kabla hajaibukia Mbeya? Kosa afanyie Dar kwanini apelekwe mahabusu ya Mbeya? Kwanini wale wengine haeakupelekwa mahakamani Kama Dr alikua na immunity?
CCM mnakurupuka mno.
Choka umekata tamaa!Nakuonea huruma wewe chawa wa jiwe
Katika hili naungana na wewe, Pascal Mayalla atakupinga tu kwasbb za kinadharia alozozisoma kwenye vitabu lkn siyo za uhalisia.Kwa hiyo unataka tuamini kwamba kufutiwa hadhi yake ya Ubalozi haihusiani na ukosoaji wa serikali ya mama SSH? Bro, haya mambo mengine hayahitaji shahada ya sheria au PhD. Yapo wazi. Why him and not someone else?
reality is: hivi vyeo vya kupeana kirafiki au kwa vile mtu amekufurahisha, hata kunyanganywa…..ni hivo hivo.
Kwa Tanzania yetu survival ya mtu kwenye mfumo ni matakwa ya watawala. Ndo maana kila mtu ni muoga kusema au kufanya lolote lenye mlengo tofauti na watawala.
Hata mtu akiangalia uchambuzi wako, your perspective is telling.
Wasalaam,
Ebu tukumbushe kidogo mkuu Alphayo Kidata alirejeshewa ubalozi wake baada ya kuvuliwa na jiwe nazani ilikuwa 2018Wanabodi
Juzi September Mosi Imetolewa taarifa ya Ikulu kumhusu aliyekuwa Balozi Dr. Wilbroad Slaa kufutiwa hadhi ya Ubalozi, taarifa hiyo ya Ikulu haikutoa sababu za kumfutia hadhi hiyo ya Ubalozi.
Hatua hii imezua mijadala mkubwa kwenye mitandao ya kijamii wengi waki speculates sababu za kufutiwa hadhi ya Ubalozi ni kwasababu ya ukosoaji wake wa mkataba wa DPW na Bandari zetu.
Kwanza naomba ifahamike wazi, hakuna kosa lolote kwa mtu yoyote, mwenye hadhi yoyote, kufanya ukosoaji wowote, wa jambo lolote, as long as ukosoaji huo haukiuki sheria yoyote.
Hivyo Dr. Wilbroad Slaa ana haki ya kukosoa jambo lolote kama ilivyotolewa na ibara ya 18 ya Katiba yetu kwenye freedom of speech and expression.
Ubalozi ni hadhi ya kimataifa inayoendana na rights na privileges fulani fulani zikiandamana na immunities, hivyo ubalozi una masharti ya kufuatwa mtu unapokuwa Balozi na kuna vitu hutakiwi kuvifanya.
Hili ni bandiko elimishi kuhusu
Ijue Hadhi ya Ubalozi, its Rights & Privileges. Wajua Kufutwa Ubalozi Dr.Slaa Hakutokani na Ukosoaji wa Bandari na Anaweza Kurejeshewa Ubalozi Wake?
Miongoni mwa privileges na immunities za diplomatic status ni pamoja na kinga ya kibalozi, ya kutokushitakiwa popote kwa kosa la jinai.
Mtu yoyote mwenye hadhi ya Ubalozi akitenda jinai yoyote, kabla hajapandishwa mahakamani kushitakiwa, hatua ya kwanza ni kuvuliwa kwanza hadhi ya Ubalozi, ndipo aweze kushitakika kwasababu hadhi ya Ubalozi ina kinga ya kibalozi kutokushitakiwa.
Kuna msemo wa Kiswahili usemao, ukiona zinduna, ujue ambari iko nyuma!, au dalili ya mvua ni mawingu na panapo fuka moshi chini kuna moto!.
Kuvuliwa huku Ubalozi kwa Dr. Slaa ni Zinduna, ni mawingu, ni kufuka tuu kwa moshi, ajiandae kuipokea Ambari, kujikinga na mvua na kuuzima moto unaokuja.
Hii sio mara ya kwanza kwa mtu mwenye hadhi ya Ubalozi kuvuliwa hadhi hiyo, wa kwanza ni balozi wetu wa kwanza jijini London nchini Uingereza Balozi Christopher Kasanga Tumbo, alivuliwa Ubalozi na kushitakiwa kwa jinai enzi za Nyerere. Mwingine ni Balozi Antony Pastor Ngaiza alivuliwa Ubalozi na kushitakiwa kwenye ile kesi ya uhaini ya mwaka 1982. Pia Balozi Prof. Costa Rick Mahalu akivuliwa hadhi ya Ubalozi na kushitakiwa kwa uhujumu ununuzi wa jengo la Ubalozi wa Tanzania jijini Rome nchini Italy, alliposhinda kesi na kukutwa hana hatia, alirejeshewa Ubalozi wake.
.
Hivyo hata kwa Dr. Slaa, tusubirie yatokanayo na kufutiwa hadhi hii ya Ubalozi, yakishindwa kuthibitishwa, anarejeshewa Ubalozi wake.
Kwa vile hili ni bandiko elimishi, nitakuelimisha kidongo na kwa kifupi
Paskali
- Hadhi ya Ubalozi ni nini?
- Sifa za mtu kuwa na hadhi ya Ubalozi ni zipi?
- Kuna cheo cha Ubalozi (career diplomats) na Ubalozi wa kuteuliwa.
- Privileges za diplomatic status ni zipi?.
- Ijue diplomatic immunity
- Je kila Balozi lazima awakilishe nchi ubalozini?
- Jee maofisa wote ubalozini ni mabalozi au wana hadhi za Ubalozi?
- Wajue Local Staff ubalozini wasio na hadhi za Ubalozi
- Ukifanya makosa gani unapoteza hadhi ya Ubalozi?
- Jee kila diplomat anayefanya jinai ni lazima avuliwe Ubalozi?.
- Ijue diplomatic Bag?
- The Doctrine of Diplomatic Reciprocity
- Jee mwenye diplomatic status ni Balozi?.
- Jee kila mwenye diplomatic passport ni diplomats?
- Maisha baada ya kuvuliwa Ubalozi, psychological depression etc.
- Wajue Wafanya Biashara Matajiri wenye diplomatic status na sio mabalozi!
Mwandishi ni mwana habari aliyefanya kazi ubalozi fulani kwa miaka 4, as a local staff na kufutia fani yake ya uandishi wa habari, ametembelea Balozi za Tanzania katika nchi nyingi za Africa, Ulaya. Asia na America, atawaletea visa na mikasa mbalimbali ya balozi zetu.
Bagheshi, kama kuuma na kupuliza tu, wewe ni mbobezo. Ndio hii tofauti ya akili za Lucas mwashambwa chawa zuzu na wewe msukuma CHAWA masala kulangwaWanabodi

Mkuu Jidu, hakuna demage control yoyote, hapa ni uelimishaji umma tuu, kuna watu wanadhani kafutiwa ubalozi kwa ukosoaji wa mkataba wa DPW na Bandari zetu, hakuna mkosoaji mkubwa kama Balozi Prof. Anna Tibaijuka!, na hakuna kosa lolote kukosoa jambo lolote Mzee Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Hayati Magufuli, walisifiwa, walikosolewa! Haki ya kusifu/kupongeza iende sambamba na haki ya kukosoa!Damage control!
Hakuna haki bila wajibu, na hakuna uhuru usiokuwa na mipaka!Noted but hayo uliyasema kibongobongo hayatekelezeki ,Kwa mfano Sheria za vyombo vya habali zipo wazi uhuru ,mipaka yao nakadharika
Sii kweli!, media zinapaswa kuwa objective, si kila kinachoropokwa lazima kiandikwe!. Ni media zenyewe zinajifanyia self censorship.lakin mbona Huwa waziri au kiongozi yeyote anaweza piga mkwala taarifa frani itoke au istoke
Kuna tofauti kati ya hadhi ya ubalozi na kurudishwa ubalozini. Huyu tayari amestaafu ubalozi, hata akirejeshewa hadhi yake ya ubalozi hawezi kurejeshwa ubalozini.Slaa ni kweli ana hadhi ya ubalozi kibongobongo hata Kama ikidhibitika Hana hatia hawez rudishwa ubalozini.
naunga mkono hoja, nothing is impossible under the sun, hivyo lolote linawezekana.Brother Mayalla sikukatalii bali nakazia tu kuwa ndani ya ccm lolote linawezekana tu.
Hakuhusiani na ukosoaji, hakuna critic mkubwa wa mkataba wa DPW na Bandari zetu kama Prof. Tibaijuka, kama ni kufutiwa ubalozi kwa ukosoaji, Tiba angefutiwa!.Kwa hiyo unataka tuamini kwamba kufutiwa hadhi yake ya Ubalozi haihusiani na ukosoaji wa serikali ya mama SSH?
Hiyo why him utaijua soon kwa yatokanayo.Bro, haya mambo mengine hayahitaji shahada ya sheria au PhD. Yapo wazi. Why him and not someone else?
yes naunga mkono hojareality is: hivi vyeo vya kupeana kirafiki au kwa vile mtu amekufurahisha, hata kunyanganywa…..ni hivo hivo.
Sii kweli, waoga wapo na ma bold tupo!.Kwa Tanzania yetu survival ya mtu kwenye mfumo ni matakwa ya watawala. Ndo maana kila mtu ni muoga kusema au kufanya lolote lenye mlengo tofauti na watawala.
Naomba niyaheshimu mawazo yako hata kama sikubaliani nayo.Hata mtu akiangalia uchambuzi wako, your perspective is telling.
AsanteWasalaam,
Ni kweli, Furahisha genge ni part and parcel of social media.Tanzania sheria zinatekelezwa kutokana na utashi wa kiongozi aliye madarakani na genge lake. Hata uorodheshe vipi matakwa ya kisheria ya ubalozi, bado utekelezaji utafuata mtazamo wa kiongozi na genge lake. Hivyo utakacholeta ni story za furahisha genge.
Ni kweliAsante sana Kwa Elimu nzuri.Huyo Babu aandae mawakili tuu na uzuri umeshaeleza kwamba sio wa kwanza kuvuliwa Ubalozi na umewataja wengine kibao.