Aisee acha tu Mfano pharao akhenaten aliyetawala kwenye Dynasty ya 18th na kufariki mwaka 1336 BC alikuwa anafanana na Barack Obama kuliko kawaida mpaka Obama mwenyewe siku alipozuru Pyramid Egypt alishangaa!
View attachment 499425
Huku akisema Wow! "Huyu mtu kama mimi ona masikio" alipigwa na Butwaa!
Mbali na yote Kila mtu kashangaa mtu wa kwanza mweusi kushika Dola kuu ulimwenguni kipindi hiki, ila inawezekana ukawa ndiyo mwanzo wa kurudi kwa Nguvu ya mtu mweusi ingawa si rahisi kihivyo!
Huyu Akhenaten unaemuona kama sanamu hapo juu alifanya mambo ya ajabu katika utawala wake kinyume na historia ya mapharao wa misri!
Yeye aliondoa orodha ya miungu yote katika Misri na kutangaza kuwa mungu aliyekuwa anapaswa kuabudiwa ni "Aten"
View attachment 499427 Juu pichani ni Akhenaten akiwa na mke na watoto wake wawili wakimsujudia "Aten"
Utashangaa kuwa Mbali na kufanana tunakoona wanafanana leo Akhenaten na Obama ila Akhenaten nae alikuwa na mke na watoto wawili!
Huyu Akhenaten alitawala miaka 17 baadae alipokuja kufa mapharao waliofuata, walirudisha utaratibu wa kuabudu wa tangu kale huku mapharao wengine wakichukizwa na kitendo chake na kutaka kumuondoa kwenye Orodha ya mapharao waliowahi kutawala!
Hicho ni kipindi ambacho hata Musa alikuwa bado hajazaliwa! Kaja kuzaliwa miaka mia baadae!
View attachment 499430