Ijue Historia ya Firauni na uongo aliozushiwa

Asili ya kila kabila la Simba ulimwenguni ni "Lion of Kemet" Hivyo simba wa judah wa Ethiopia asili yake ni Lion of Kemet!, Israel pia wana kabila linalohusishwa na Simba huku Yesu akizungumziwa wazi kuwa ni Simba kutoka katika kabila ya Yuda pia asili yake kuu ni "Lion of Kemet"!
 
So beautiful and wonderful!
Aisee acha tu Mfano pharao akhenaten aliyetawala kwenye Dynasty ya 18th na kufariki mwaka 1336 BC alikuwa anafanana na Barack Obama kuliko kawaida mpaka Obama mwenyewe siku alipozuru Pyramid Egypt alishangaa!
Huku akisema Wow! "Huyu mtu kama mimi ona masikio" alipigwa na Butwaa!

Mbali na yote Kila mtu kashangaa mtu wa kwanza mweusi kushika Dola kuu ulimwenguni kipindi hiki, ila inawezekana ukawa ndiyo mwanzo wa kurudi kwa Nguvu ya mtu mweusi ingawa si rahisi kihivyo!
Huyu Akhenaten unaemuona kama sanamu hapo juu alifanya mambo ya ajabu katika utawala wake kinyume na historia ya mapharao wa misri!
Yeye aliondoa orodha ya miungu yote katika Misri na kutangaza kuwa mungu aliyekuwa anapaswa kuabudiwa ni "Aten" Juu pichani ni Akhenaten akiwa na mke na watoto wake wawili wakimsujudia "Aten"

Utashangaa kuwa Mbali na kufanana tunakoona wanafanana leo Akhenaten na Obama ila Akhenaten nae alikuwa na mke na watoto wawili!

Huyu Akhenaten alitawala miaka 17 baadae alipokuja kufa mapharao waliofuata, walirudisha utaratibu wa kuabudu wa tangu kale huku mapharao wengine wakichukizwa na kitendo chake na kutaka kumuondoa kwenye Orodha ya mapharao waliowahi kutawala!
Hicho ni kipindi ambacho hata Musa alikuwa bado hajazaliwa! Kaja kuzaliwa miaka mia baadae!
 
Hapo ndipo incarnation inapo take place ambapo ni beliefs za HINDUISM!
Akhenaten mabaki yake yalichukuliwa kupelekwa marekani! Kipindi hicho hicho cha Obama! Sasa jiulize kuna siri gani kubwa ambayo wanafaidika nayo kwa kuwaheshimu hawa babu zetu? Mpaka kwenye pesa yao RA yupo.... Mola tuongoze !
 
Tupe vitu mkuu
 
Incarnation inawezekana ipo kweli Queen!
 
Huo ni mpango wa Allah (SAW) kuonyesha Uwezo wake pia mfano kwa kizazi kijacho kuwa hakuna Mungu wa Zaid ya Allah
 
Inawezekana alikuwa mtu mwema ila hizi dini zinatudanganya! asili haibadiliki Waisrael hadi leo tabia zao ni mbovu mbovu! lazima hata mababu zao nao walikuwa hivihivi!
Laiti ungejua wewe mwaafrika ndio Muisraeli usingethubutu kusema hivi. Nani kweli waisrael ni watu Wa ovyoi na watumwa Wa waarabu na wazungu na wahindi nani sababu wamelaaniwa na Mungu na jibu la kupona ni kufuata mafundisho ya Yeshuah Masihi .kwa habari zaidi Google the true Israelite au true black hebrews .au Is Jesus Black or white au 12 missing tribers of Israel
 
Ni kweli Brother ataa biblia inasema hivyo Yesu alikuwa mtu Wa rangi ikiwa na maana sio mweupe [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Herode nadhani alikuwa ni mtu kutoka Roma, sina uhakika sana.
Ndio na waroma ndio walikuwa watawala juu ya waesrael black people zao la kwanza la Mungu .ataa Nuhu alikuwa mweusi kabla ya kuzaa moja ya mtoto wake albino ambae anasadikiwa kizazi chake ndio uendea wazungu Wa Leo .tena zingatia uwezi mpandisha mzungu kwa ngozi yake juu ya piramidi zile na jua la misri akijenga na awe salama na kansa ya ngozi [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
kwa hiyo herode alikuwa Muzungu??? na alikuwa katika nchi ipi maana kuna siku nimesoma kuwa hiyo israel na misri walikuwa wanaishi watu weusi

Misri hata mimi nimesikia na nimejaribu kufikiria yale masanamu na michoro ni ya watu weusi, laiti kama wangekuwa weupe hasa waarabu wasingekuwa wana art craft watu weusi vile, jaribu kufatilia hata movies, vitabu vinavyozungumzia Egypt utaona hili
 
Kwani RED INDIANS WA NORTH AMERICA WAKO WAPI? na AUSTRALIA wale watu wa asili wako wapi? MZUNGU NENDA NAE KWA HEKIMA NA BUSARA PAMOJA NA UFAHAMU WA HALI YA JUU. ..
Kwanza tafsiri ya neno Indian maanake ni darkpeople kwa hiyo red indian ni darkred people na ataa Leo asilia yao waafrica plus Australia arbogine ni wafrica.nikupe changamoto Kama umepata kumsikia Nimrod huyu ndio muanzilishi na mtawala aliyepata kuwa na nguvu kuliko wote kutawala duniani nani mwaafrica mweusi .habari zaidi Google
 
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji120]
 
Herode nadhani alikuwa ni mtu kutoka Roma, sina uhakika sana.
no,alikua myahudi,sio wa enzi za farao,
herode ni wa juzi tu wakati wa utawala wa Roman empire,
alwekwa na warumi kama gavana wa palestine
 
Herode nadhani alikuwa ni mtu kutoka Roma, sina uhakika sana.
no,alikua myahudi,sio wa enzi za farao,
herode ni wa juzi tu wakati wa utawala wa Roman empire,
alwekwa na warumi kama gavana wa palestine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…