Ijue Historia ya Firauni na uongo aliozushiwa

Wewe unatuthibitishiaje na kutuaminisha kuwa wewe ndio upo sahihi hasa?

Kwa vigezo vipi ilihali hukuwepo wakati huo isipokuwa umefanya utafiti (sina uhakika) kama walivyofanya wengine tu.

Hilo la kusema waliuonaje mwili wa Pharao ni rahisi sana kujibu kwani angelikuwa bado yupo hai ni wazi ingejulikana kwa waisrael na dunia nzima kwa wakati huo.
 
Inawezekana alikuwa mtu mwema ila hizi dini zinatudanganya! asili haibadiliki Waisrael hadi leo tabia zao ni mbovu mbovu! lazima hata mababu zao nao walikuwa hivihivi!
Mfano wa ubovu wa tabia yao ni upi?
 
Bible na Quran unazithibithaje kuwa zinasema kweli?
 
Miungu inahama?
Roho ya Mungu inahama, kama ilivyo ondoka kwa mfalme Sauli na kuhamia kwa mfalme Daudi! Kwenye Ufunuo unaambiwa "shika sana ulicho nacho asije akaja mwingine akakupokonya! Hii ni FORCES OF THE ALMIGHTY ONE CREATOR OF EVERY THING, THE SUPREME ONE!
 
Ha ha brother umenifurahisha sana aisee we ni genius
 
Na huyu THOTH anatawala siku ya ALHAMIS AU THURSDAY, ndiyo maana ma president wa marekani huwa wanaapishwa Thursday na huwa wakitaka mafanikio katika jambo huwa wanalifanya on Thursday! MOAB lilirushwa Thursday. Haposa!
 
mkuu kwani yesu alizaliwa misri??
 
True
 
Mkuu labda nikukumbushe tu kuwa licha ya kuwa Pharaoh walikuwa wengi lakini Quran inamzungumzia wa Kipindi cha nabii Musa.Pharao huyu alivuka mipaka kwa matendo yake
 
MUSA alikuwa ni mwiisrael, na alipo zaliwa aitakiwa achinjwe lakini haikuwa hivyo na alilelewa na binti pharaoh! Kama angekuwa tofauti rangi na wamisri wangemtambua kuwa ni myahudi!
 
Mkuu labda nikukumbushe tu kuwa licha ya kuwa Pharaoh walikuwa wengi lakini Quran inamzungumzia wa Kipindi cha nabii Musa.Pharao huyu alivuka mipaka kwa matendo yake
hivi watu wanaposema mtu anafanya ufirauni wakimaanisha kinyume na maumbile huwa wanamaanisha nini?
 
Huo si utaratibu mzuri wa dialogue ama Discussion.

Jibu swali ndipo nawewe uulize swali.
Wow! Mimi nathibitisha kwa kuamini sababu haya yote yapo Misri yameandikwa tangu kale! Kifupi kuchakachuliwa kwake ni kugumu sababu ya sehemu yalimoandikwa, pia Mwili/mummy wa Rammesses unaonyesha wazi luwa alikufa akiwa mzee!.
Nipe sababu za wewe kuamini Bible na Quran..
 
hivi watu wanaposema mtu anafanya ufirauni wakimaanisha kinyume na maumbile huwa wanamaanisha nini?
Mzungu ali make sure kuwa, kila kitu cha mtu mweusi kionekane ni kitu kibaya na Kiovu, ukiangalia Ile movie ya LION KING, yule uncle mwovu alikuwa mweusi, wale ma hyenas walikuwa na accent ya watu weusi! Ingawa the richest man in the world na kuna facts alikuwa ni Mansa Mussa wa Mali Timbuktu! THE WEAKER ARE ALWAYS OPPRESSING THE STRONGER, kama the stronger wakiwa wameuchapa usingizi!
 

Kwanza itabidi ujiulize wewe ni MBANTU, MNILO au MKUSHI!
Nijuavyo mimi waafrika wote hawafanani ilhali wote ni waafrika weusi.Tena wanajivunia uafrika wao.
Babu zako hapo Tanzania huenda ni wabantu tokea Afrika ya KATI,kwahiyo hawatakua na uhusiano wowote wa moja kwa moja na Misri, labda wawe na mchanganyiko wa damu na vikundi vya NILOTES (Luo,Maasai,Turkana,Kalenjin)ama CUSHITES(Somali,Oromo,Borana,Samburu) ama hata HAMITES(wahabeshi,Oromo wengine na kadhalika)hilo halimaanishi hakukuwa na waafrika waliotokea pande za kaskazini/Misri ama waliotokea Guba la Uajemi ama Mashariki ya kati(wakati huo eneo hili lote lilikuwa himaya ya mtu mweusi.
Jamii ya wa Luo kwa taarifa tu wana fasihi simulizi inayoonesha waliteremka sambamba na mto NILE....wanakumbuka Sudani (kule Meroe karibu kabisa na mpaka wa Misri ndani ya Nubia).
Kumbuka kua Farao waanzilishi wa Misri walitokea UNUBI/NUBIA kabisa na kuunganisha Himaya mbili za Misri almaaruf ,Falme za kaskazini na Falme za nyanda za Chini...hapo ni kabla ya anguko lao lilopelekewa na kutekwa kwa Misri,ndipo kukaja mafarao waliochanganya damu toka sehemu sehemu za nje mmoja wao Cleopatra sijui nani na nani waliokua hawana hata sifa za Kiungu/kuheshimika/kusujudiwa...kasome weye.
Soma vitabu,utajifunza mengi.
Nna mengi lakini muda sina wakukuhadithia yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…