Ijue Historia ya Firauni na uongo aliozushiwa

Hahaha...nafikiri wewe hujaelewa swali langu hasa linataka nini,

Twende hivi:-

Mpaka kufikia miaka ya 1979 wachambuzi wa Biblia na watafiti mbalimbali walitangaza kuwa walifanikiwa kupata baadhi ya mabaki ya mbao zilizotumika kuitengeneza safina ya Nuhu huko babilon ya zamani.

Sii hilo tu,miaka ya 1800's wapo waliosema waliona kabisa jiwe lenye umbo la mtu mwanamke anayegeuka upande wa kushoto hivyo ikaaminika kuwa habari ya mke wa Lutu kugeuka kuwa jiwe la chumvi ni kweli.

Lakini mpaka leo hii usemi wa wasomi na wa kisayansi unasema kuwa "To see is to believe"

Have you seen all those in Egypt?

Hakuna mifupa na michoro iliyokuja kuongezwa katika utawala wa Eqypt baadaye ili kuvutia utalii

Carbon 14 iligunduliwa lini?

Does that justify the Incorrect of the Bible?
Unadhani hakuna jiwe lililochongwa ili kutuaminisha kama Rutu aligeuka jiwe!?

Unadhani hakuna vipande vya mbao vilivyotengenezwa ili kutuaminisha vilikuwa kwenye Safina ya Nuhu!!

Ahahahaha hiki ni kichekesho kikubwa zaidi kuwahi kutokea! Vibao! leo karne ya 20 vije kuthibitisha kama viliunda safina ya Nuhu!![emoji2][emoji2][emoji2] Unajuaje na unathubutu vipi kusema hivyo ikiwa vibao vipo tangu kale? na mamilioni ya watu tangu kale wamekuwa wakiunda nyumba, ngalawa, mitumbwi na kadharika kwa vibao!?

Kuona vibao tu mnatoa proof kuwa ilikuwa ni safina! Mkiona bustani iliyotelekezwa!? si mtasema ilikuwa Eden/aliishi Adam
Kifupi proof zenu ni za kulenga na manati proof za ajab ajab!
 
Haho yoote mimi naamini yanaweza kufojiwa tu na wala hakuna mahali nilipobisha hilo

Ndio maana mimi nipo Neutral ila nilikuwa curious kujua ni sababu zipi hasa strong zilizokufanya useme kuwa ule wa kwenye Biblia ni UONGO na huu wa kwako ni UKWELI.
 
Mkuu...hivi unajua huyu mtu alizikwa miaka mingapi iliyopita?

Ulishaona maiti ya mtu aliyezikwa miaka 10 tu iliyopita?

Hao walikua wanatengenezwa na utaalamu maalum..unaitwa MUMMIFICATION.
Mbinu hii unautunza maiti kwa miongo na miongo, kama vile kukaushwa na umeme tu!
Wanasayansi wao walikua wanautayarisha kiwiliwili cha mwendazake kutumia utaalamu wa kipekee duniani pamoja na kemikali na mbinu ofauti tofauti, ndio maana nikakuambia ukasome vitabu.
 
Unadhani hakuna jiwe lililochongwa ili kutuaminisha kama Rutu aligeuka jiwe!?

Unadhani hakuna vipande vya mbao vilivyotengenezwa ili kutuaminisha vilikuwa kwenye Safina ya Nuhu!!

Ahahahaha hiki ni kichekesho kikubwa zaidi kuwahi kutokea! Vibao! leo karne ya 20 vije kuthibitisha kama viliunda safina ya Nuhu!![emoji2][emoji2][emoji2] Unajuaje na unathubutu vipi kusema hivyo ikiwa vibao vipo tangu kale? na mamilioni ya watu tangu kale wamekuwa wakiunda nyumba, ngalawa, mitumbwi na kadharika kwa vibao!?

Kuona vibao tu mnatoa proof kuwa ilikuwa ni safina! Mkiona bustani iliyotelekezwa!? si mtasema ilikuwa Eden/aliishi Adam
Kifupi proof zenu ni za kulenga na manati proof za ajab ajab!
Hata hizo zako source zake si za kuaminika kwa asilimia 100.

Science makes Sense, Sawa?
 
Mkuu...hivi unajua huyu mtu alizikwa miaka mingapi iliyopita?

Ulishaona maiti ya mtu aliyezikwa miaka 10 tu iliyopita?
Hahah Sasa bwana Azael hapo ndipo unapopaswa kuuliza kwanini yuko hivi hadi leo?
sio suala la miaka kumi! Hapo unapouona huo mwili ni kuwa, ulipotezwa na tetemeko kwenye miaka ya 1000 na umekuja kupatikana miaka ya 1800!, hapo unapouona tu tangu upatikane ni miaka zaidi ya 200 iliyopita!
Wewe unazungumzia miaka 10!
 
Hao walikua wanatengenezwa na utaalamu maalum..unaitwa MUMMIFICATION.
Mbinu hii unautunza maiti kwa miongo na miongo, kama vile kukaushwa na umeme tu!
Wanasayansi wao walikua wanautayarisha mwili kutumia utaalamu wa kipekee duniani pamoja na kemikali na mbinu ofauti tofauti, ndio maana nikakuambia ukasome vitabu.
Ndugu yangu, vitabu kuhusu historia ya wafalme wa misri nimevisoma kwa muda mrefu mpaka sasa.

Yawzekana wewe ulivisoma zaidi Labda nikuulize:-

- Sasa hivi hizo materials za kuuhifadhi maiti kwa miaka yoote bila kuoza ipo? Inafanya kazi?

Vitabu vingi sana vinaelezea kuwa maiti ya Pharao haikuoza kutokana na aina ya kaburi lake lilivyo na jinsi alivyolazwa.

Unajua mchango wa watu wa kabila dogo la "Dogon" wa mali katika miili ya pharaoh kuanzia khufu?
Hao walikua wanatengenezwa na utaalamu maalum..unaitwa MUMMIFICATION.
Mbinu hii unautunza maiti kwa miongo na miongo, kama vile kukaushwa na umeme tu!
Wanasayansi wao walikua wanautayarisha mwili kutumia utaalamu wa kipekee duniani pamoja na kemikali na mbinu ofauti tofauti, ndio maana nikakuambia ukasome vitabu.
 
Hata Yesu Kristo mwana wa Yoseph alikuwa mweusi tii na nywere za kipilipili! Na ndio sababu utotoni alifichwa Misri kumkwepa Herode, kama angekuwa mzungu kama tunavyoonyeshwa kwenye sinema huko Misri wasingemficha...ila kwakuwa alikuwa mweusi basi alichangwanywa na weusi wenzanke.
Lugha ya mifano aliyokuwa akiitumia Yesu kwa mujibu wa biblia, asili take ni hapa usukumani...wazungu hawafundushi kupitia mifano ya "mpanzi na mbengu zilizoanguka kandokando ya njia..."

= nywele

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Hata hizo zako source zake si za kuaminika kwa asilimia 100.

Science makes Sense, Sawa?
Hata kama si za Uhakika kabisa, ila daima huwezi fananisha na zenu!
Sisi kila kitu ukitaka, unaenda tu kwenye ufalme wa kale kuangalia. Ila nyie mkitaka proof sijui huwa mnapelekwa wapi! Kuangalia vibao vya safina!!? Au mahala kunakodaiwa kulikuwa na Bustani ya edeni!?
Amini usiamini kuna mambo ambayo nyie wenyewe mnapaswa kuja kwenye ufamle wa misri kwa ajili ya kupata proof. ila sisi hatuna hata kimoja tunachokitaka toka kwenu! Na tuna thousands of proof But nyie mnatutegemea. Na proof zenu ni za kulenga lenga! Kifupi hazielewekieleweki.
 
Sisi tukitaka kuamini tunaenda Mecca au Israel na kutembelea Galilaya, Getsemane, bethlehem na kwingineko.

Tutakachokiona HAKINA TOFAUTI na utakavyoviona ukitembelea Giza's pyramids.

Kwanini wewe unajipa uhalali na usahihi na kuona vya wengine ni UONGO?

huo UKWELI wako unaotofautisha na UONGO WETU uliouongelea ni upi?

Jibu critically hebu.
 
Kwanza huyo mtoaa mada naona anamapungufu ya akili kwasababu kwanza kazunguzmzia kuwa bible na quran vitabu vyote kuwa eti vimeandka uongo,,,sasa je yeye yuko katka imani gani,,nakama hyna din mkuu wew huez badili imani za watuu kamweeee
 
Haho yoote mimi naamini yanaweza kufojiwa tu na wala hakuna mahali nilipobisha hilo

Ndio maana mimi nipo Neutral ila nilikuwa curious kujua ni sababu zipi hasa strong zilizokufanya useme kuwa ule wa kwenye Biblia ni UONGO na huu wa kwako ni UKWELI.
Biblia imebaki na watetezi!, Kifupi ni Dini iliyo hai!
Ila dini ya Ancient Egypt imekufa karibu miaka 2000 iliyopita!, Kwa sasa zimebaki story tu.
Ila kwa yeyote atakayesoma Wamisri wale waliishije, ataanza kupata mashaka na hivi vitabu, sababu mambo mengi yaliyoandikwa humu Asili yake ni Kwenye Dini za wamisri wa kale!
Mababu wa Misri walijua kabisa kuwa huko mbele kutakuja kuwa na shida katika vizazi vyao, kwenye kujitambua, pamoja na asili zao za kale. Ndiyo maana walifanya kampeni kubwa ya kutunza Kumbukumbu! Ili vizazi vije kuamka.

Kifupi Misri ya kale imekosa mtetezi/watu/ huku kizazi chote kilichopo kikiwa kimelewa mambo mapya, Ndo maana Manabii taratibu tunaanza kuzuka na kutetea kingdom ya asili.
Watu kama sisi ilikuwa lazima tuje kutokea!
 
Kwanza huyo mtoaa mada naona anamapungufu ya akili kwasababu kwanza kazunguzmzia kuwa bible na quran vitabu vyote kuwa eti vimeandka uongo,,,sasa je yeye yuko katka imani gani,,nakama hyna din mkuu wew huez badili imani za watuu kamweeee
Huyu anachoshangaza nayeye anasema huko kuna UONGO wakati na yeye asemayo yamerefer kwenye source zilezile

Yeye hawezi kutupa ukweli wake wenye uhakika wa 100%
 
Kwanini haikutawaliwa?

Nenda kawaulize, halafu kule kwote Dogon sijui wapi kwote unakotupeleka nshakueleza ushahidi upo mpakani na kaburi lake Faraoz kwenyewe/majirani,huko kote unatupeleka ili iweje?
 
Huyu anachoshangaza nayeye anasema huko kuna UONGO wakati na yeye asemayo yamerefer kwenye source zilezile

Yeye hawezi kutupa ukweli wake wenye uhakika wa 100%
Mzee mi sibishani kuhusu dini hapa! Usijesababisha uzi wangu kufungwa! Hebu angalia huu uzi upo kwenye jukwaa la Historia na Sio Dini naomba uende zako[emoji57]
 
Biblia imebaki na watetezi!, Kifupi ni Dini iliyo hai!
Ila dini ya Ancient Egypt imekufa karibu miaka 2000 iliyopita!, Kwa sasa zimebaki story tu.
Ila kwa yeyote atakayesoma Wamisri wale waliishije, ataanza kupata mashaka na hivi vitabu, sababu mambo mengi yaliyoandikwa humu Asili yake ni Kwenye Dini za wamisri wa kale!
Mababu wa Misri walijua kabisa kuwa huko mbele kutakuja kuwa na shida katika vizazi vyao, kwenye kujitambua, pamoja na asili zao za kale. Ndiyo maana walifanya kampeni kubwa ya kutunza Kumbukumbu! Ili vizazi vije kuamka.

Kifupi Misri ya kale imekosa mtetezi/huku watu/kizazi chote kilichopo kikiwa kimelewa mambo mapya, Ndo maana Manabii taratibu tunaanza kuzuka na kutetea kingdom ya asili.

Pamoj sana mkuu!...ni wito/kipaji utokanao na uwezo ulio juu ya mwanadamu!...ahsante sana!
 
Back
Top Bottom