Ijue historia ya jina Makambako

Sikubaliani na hoja: Watu walishindwa kutamka MAKAMBAKU wakaweza kutamka MAKAMBAKO!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
wangoni kwa hiyo wamewapita wabena njombe mjini wakaenda kwa wahehe iringa? halafu makambako mbona wako wabena? wabena hawakupigana vita?
 
acha kupotosha uma mtoa uzii[emoji23]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Shukrani kwa kutufahamisha
 
Kimara Temboni asili ni kuwa Tembo wengi walikuwa wanatoka Kazimzumbwi kwenye ile hifadhi Kisarawe na kwenda Saadani sasa kipindi hicho kimara ilikuwa pori kwa maana mashamba ya Tanganyika packers (Kwahiyo ndio asili ya jina hilo Kimara Temboni
Tupe historia ya Kimara "TEMBONI" ,SUKA etc

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona historia nyingi sana wengine walisema ni sehemu ambayo walikuwa wanafanya minada ya n’gombe ambao ng’ombe dume anaitwa kambako so ikaitwa makambako yaani fahari ng’ombe dume
 
Mbona historia nyingi sana wengine walisema ni sehemu ambayo walikuwa wanafanya minada ya n’gombe ambao ng’ombe dume anaitwa kambako so ikaitwa makambako yaani fahari ng’ombe dume
Kwa kihehe ng'ombe dume huitwa kambako kwa kingoni kambaku ni mtu mwenye nguvu shupavu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmhhh nikipiga mahesabu kutoka Kazimzumbwi hadi Saadan ni kipande kikubwa sana kwa tembo kutembea ina maana hapo katikati kulikuwa hakuna makazi kabisa??
 
Wangoni na Wahehe fikieni muafaka juu ya hiki tamko "MAKAMBAKO" ili sisi tuchukue jibu moja tukawasimulie watoto wetu.

Ahsante.
 
wazee wa zamani walikuwa nao hamnazo, kwanini wasingeungana kuliko kupiga vita
juzi nilikuwa naangalia youtube historia ya livingstone anadai alikuta maeneo ya tanganyika watumwa waliouwawa wametundikwa juu ya miti ila wenyeji hawakuwasitili , badala yake wenyeji walisubiri watumwa waliobaki wazima wakawachukuwa kwenda kuwauza tena kwenye slave market


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…