Ijue historia ya jina Makambako

Ijue historia ya jina Makambako

Sikubaliani na hoja: Watu walishindwa kutamka MAKAMBAKU wakaweza kutamka MAKAMBAKO!
Si kweli, ni uongo kabisa, wahehe hawajawahi kupigwa na wangoni kamwe.....hakuna kabila lililowahi kumpiga mhehe.....hiyo sehemu iliitwa Makambako ikiwa na maana sehemu ambayo mahafari wawili walikutana....yaani ng'ombe dume zilipokutana.....kwa kihehe makambako manaake mafahari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wangoni kwa hiyo wamewapita wabena njombe mjini wakaenda kwa wahehe iringa? halafu makambako mbona wako wabena? wabena hawakupigana vita?
 
acha kupotosha uma mtoa uzii[emoji23]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Makambako ni sehemu maarufu Sana hapa nchini kwakuwa ipo katika njiapanda ya kwenda mbeya,songea na Iringa

Makambako kwa Sasa inapatikana katika mkoa wa njombe

HISTORIA YAKE
Kipindi Cha ngoni migration wangoni baada ya kuikalia songea walitamani wajitanue mpaka panapoitwa Iringa kwa Sasa lakini mpango wao ulipata changamoto kila walipofika sehemu inayo itwa makambako hivi Sasa kipihicho palikuwa na jina jingine

Wangoni walipofika eneo hilo walikuwa wanakabiliwa na Vita kubwa kutoka kwa majeshi ya chifu mkwawa ambapo walipigana Vita mala mbili bila ya kupatikana mshindi mgoni aliludi nyumbani na mkwawa aliludi kwake mala ya tatu mngoni alipanga Tena shambulio dhidi ya vikosi vya mkwawa

Vita hii ya tatu mkwawa alishindwa Vita alipoteza 70% ya Askari wake wote baada ya Mambo kuwa MAGUMU mkwawa alituma wazee kwenda songea kwa chifu songea kuomba Vita isitishwe na wasipigane Tena


Wangoni walikubali na wakaombana wawe watani tangu hapo mhehe na mngoni ni watani


Sasa pale walipokuwa wanapigania wakaamua wapape jina mngoni akaamua paitwe MAKAMBAKUkwa kingoni KAMBAKU ni mtu shupavu mwenye nguvu MAKAMBAKU ni uwingi

Watu walikuwa hawaezi kuita MAKAMBAKU wakawa wanapaita makambako Kama inavyoitwa Sasa hivi


Hiyo ndyo historia fupi

Sent using Jamii Forums mobile app

Shukrani kwa kutufahamisha
 
Kimara Temboni asili ni kuwa Tembo wengi walikuwa wanatoka Kazimzumbwi kwenye ile hifadhi Kisarawe na kwenda Saadani sasa kipindi hicho kimara ilikuwa pori kwa maana mashamba ya Tanganyika packers (Kwahiyo ndio asili ya jina hilo Kimara Temboni
Tupe historia ya Kimara "TEMBONI" ,SUKA etc

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona historia nyingi sana wengine walisema ni sehemu ambayo walikuwa wanafanya minada ya n’gombe ambao ng’ombe dume anaitwa kambako so ikaitwa makambako yaani fahari ng’ombe dume
 
Mbona historia nyingi sana wengine walisema ni sehemu ambayo walikuwa wanafanya minada ya n’gombe ambao ng’ombe dume anaitwa kambako so ikaitwa makambako yaani fahari ng’ombe dume
Kwa kihehe ng'ombe dume huitwa kambako kwa kingoni kambaku ni mtu mwenye nguvu shupavu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kimara Temboni asili ni kuwa Tembo wengi walikuwa wanatoka Kazimzumbwi kwenye ile hifadhi Kisarawe na kwenda Saadani sasa kipindi hicho kimara ilikuwa pori kwa maana mashamba ya Tanganyika packers (Kwahiyo ndio asili ya jina hilo Kimara Temboni

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmhhh nikipiga mahesabu kutoka Kazimzumbwi hadi Saadan ni kipande kikubwa sana kwa tembo kutembea ina maana hapo katikati kulikuwa hakuna makazi kabisa??
 
Wangoni na Wahehe fikieni muafaka juu ya hiki tamko "MAKAMBAKO" ili sisi tuchukue jibu moja tukawasimulie watoto wetu.

Ahsante.
 
wazee wa zamani walikuwa nao hamnazo, kwanini wasingeungana kuliko kupiga vita
juzi nilikuwa naangalia youtube historia ya livingstone anadai alikuta maeneo ya tanganyika watumwa waliouwawa wametundikwa juu ya miti ila wenyeji hawakuwasitili , badala yake wenyeji walisubiri watumwa waliobaki wazima wakawachukuwa kwenda kuwauza tena kwenye slave market


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom