Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
Sikubaliani na hoja: Watu walishindwa kutamka MAKAMBAKU wakaweza kutamka MAKAMBAKO!
Sent using Jamii Forums mobile app
Si kweli, ni uongo kabisa, wahehe hawajawahi kupigwa na wangoni kamwe.....hakuna kabila lililowahi kumpiga mhehe.....hiyo sehemu iliitwa Makambako ikiwa na maana sehemu ambayo mahafari wawili walikutana....yaani ng'ombe dume zilipokutana.....kwa kihehe makambako manaake mafahari
Sent using Jamii Forums mobile app