Ijue Historia ya Kabila la Wapare

Ijue Historia ya Kabila la Wapare

Mbwange etangwa Makanta etongie shule msi wa kuvoka kuvoka idarasa la kuvoka. Ekangia mwalimu wa Hesabu,

Mwalimu: ukiwa na Maandazi 6 ukitoa 2 unabaki na Mangapi?.

Makanta: Kimya anamuangalia tuu mwalimu.

Mwalimu; aaaaa! Ngoja niulize kwa kipare, Hela Makanta wena Mandazi sitao wekivusha merio heshala mangahi?

Makanta : ekaseka.

Makanta: harika herena na chai Teheshala Kintu neriwe:

Idarasa lose kiseko

My take; Uwooooo eteta kuti tukundie vishi enamongoo, ambu yee temoghiweee
 
Nahavome ambiere ambu nami namanya chavotia . Mfumwa aho anga akughenje ugure mbane mbithi
 
mbwange etangwa makanta etongie shule msi wa kuvoka kuvoka idarasa la kuvoka. Ekangia mwalimu wa hesabu,

mwalimu: Ukiwa na maandazi 6 ukitoa 2 unabaki na mangapi?.

Makanta: Kimya anamuangalia tuu mwalimu.

Mwalimu; aaaaa! Ngoja niulize kwa kipare, hela makanta wena mandazi sitao wekivusha merio heshala mangahi?

Makanta : Ekaseka.

Makanta: Harika herena na chai teheshala kintu neriwe:

Idarasa lose kiseko

my take; uwooooo eteta kuti tukundie vishi enamongoo, ambu yee temoghiweee

mwana ni ikoko la mgwengweni uoh
 
Mkuu nimeipenda sana hii historia ya wapare na nimekukubali sana . Mimi ni mpare kwetu ni kihurio .
Wapare tupo juu hadi leo kisiasa na kiuchumi . Yani ukipata kazi alafu ukaona hapo kazini kwenu hakuna wapare basi ni bora uache hiyo kazi itakuwa haina mama.
 
Mkuu babu wa baba yangu mzaa mama ake baba alikuwa chifu wa huko kihurio aliitwa mfumwa kisaka alikuwa na uwezo wa kuleta mvua.
Jamani historia ya wapare ni kubwa mno tujifunze sana tujue tulikotoka
 
neno wapare ni lakichaga likiwa na maana washike lilitokea wakati wavita yakuwafukuza toka milimani na kuwakimbizia maeneo ya tambarare
 
the hammer, dingiswayo, sendoro mbazi, queen esther, nguruvi3,
kwa kweli katika mazingira haya itachukua miongo mingi sana kuwapata wakina elangwa shaidi, abdulrahman msangi, akili danieli,nassoro mnzava, mishael muze, mahamoud mwindadi, keto mshigheni,na wasomi wengine wa kupigiwa mfano. Ninasema hivi kwasababu wasomi wote hao walitokea vijijini ambako miaka hii kumekuwa na hali mbaya mno.
mkuu bangusule hebu fafanua hawa jamaa walikuwa na elimu gani au wadhifa gani?
 
Last edited by a moderator:
mkuu bangusule hebu fafanua hawa jamaa walikuwa na elimu gani au wadhifa gani?

betlehem,
elangwa shaidi alikuwa Inspector General wa Polisi baada ya uhuru. Prof.abdulrahman msangi mtanzania wa kwanza kupata shahada ya sayansi toka London University[makerere college], na dean wa wa kitivo cha sayansi UDSM. Balozi Akili Bernard Chagi Danieli "a.b.c.danieli" alikuwa balozi wa tanzania UN, mwaka 1968. bahati mbaya alifariki akiwa bado ni kijana. Nassoro Mnzava alikuwa Jaji Kiongozi, anakumbukwa kwa kusimamia kesi ya uhaini miaka ya 80. Mishael Muze ni mhadhiri wa hisabati, mwandishi wa vitabu vya kiada, na alipata kuwa kamishna wa elimu. Mahamoud Mwindadi alikuwa katibu wa bunge wakati wa awamu ya kwanza. Mahamoud ni ndugu na Prof.Idi Mwindadi Mmbaga. Keto Elitabu Mshigeni professor wa botany, ni mmoja wa waasisi wa University of Namibia. Kuna jengo limepewa jina " Keto Mshigeni Mariculture Building" kwa kutambua mchango wake kwa Univ of Namibia.
 
Last edited by a moderator:
betlehem,
elangwa shaidi alikuwa Inspector General wa Polisi baada ya uhuru. Prof.abdulrahman msangi mtanzania wa kwanza kupata shahada ya sayansi toka London University[makerere college], na dean wa wa kitivo cha sayansi UDSM. Balozi Akili Bernard Chagi Danieli "a.b.c.danieli" alikuwa balozi wa tanzania UN, mwaka 1968. bahati mbaya alifariki akiwa bado ni kijana. Nassoro Mnzava alikuwa Jaji Kiongozi, anakumbukwa kwa kusimamia kesi ya uhaini miaka ya 80. Mishael Muze ni mhadhiri wa hisabati, mwandishi wa vitabu vya kiada, na alipata kuwa kamishna wa elimu. Mahamoud Mwindadi alikuwa katibu wa bunge wakati wa awamu ya kwanza. Mahamoud ni ndugu na Prof.Idi Mwindadi Mmbaga. Keto Elitabu Mshigeni professor wa botany, ni mmoja wa waasisi wa University of Namibia. Kuna jengo limepewa jina " Keto Mshigeni Mariculture Building" kwa kutambua mchango wake kwa Univ of Namibia.
Mkuu wewe ni mkali sana kwa historia ya wapare na inaonekana una kumbukumbu nzuri mno.Kuna eneo kule kuelekea usangi maeneo ya shighatini linaitwa "Mshingeni". Inawezeka lilitokana na huyo jamaa uliomtaja hapo juu.
 
jolson masaki,
nitafurahi sana ukitupatia nyaraka za mgomo wa mbiru. nimesikia kwamba idara ya historia ya udsm wanazo nyaraka hizo. Ama kuhusu Prof.Isaria Kimambo, huyu ni gwiji wa historia ya Wapare kwani ameandika vitabu 3 vinavyohusu kabila letu.
 
Last edited by a moderator:
The hammer,

kabla hakujawa na wapare kulikuwa na koo ndogo ndogo za wahamiaji toka makabila mbalimbali yakiwemo wataita na wakamba ambazo zilikuwa haziko chini ya uongozi wowote ule unaoeleweka. sasa hao waliopigania ardhi na wachaga ni kati ya hizo koo ndogo ndogo kabla hazijaunganishwa kwa lugha, mila, na matambiko, na kuwa kabila moja, WAPARE.

katika muunganiko huu unaojulikana kama Wapare zipo koo ambazo zina asili ya Uchagani. Ushahidi wa hilo ni kuwepo kwa Wapare wenye majina ya Kichaga. sasa hapo suala zima la Wapare kupigana vita na Wachaga linakuwa ni utata mkubwa.

Mwisho, kuna mahali umeeleza kwamba chakula cha asili cha Wapare ni MAKANDE. Wapare wenyewe hupenda kukiita chakula hicho pure inatamkwa "MP-HURE." Kipo chakula kingine cha Wapare kinaitwa KISHUMBA.
Kuna ndunyula,muhawe,ibada na kibulu.
 
Umethahau wapare hupenda sana ule msosi unaitwa Pure
 
niliwahi kusimuliwa na mtu mmoja kuwa wachaga, wapare na wameru walikuwa jamii moja; kuna wakati walitofautiana na hivyo kugawanyika. Wameru walikimbilia mlima meru hivyo wakaitwa "Varwa" (wameru) neno lenye maana ya watu wa kupanda kwenda uwanda wa juu/mlimani na wapare walikimbia na kupiga makelele kwa mayowe na hivyo kutafsiriwa kama watu waliopigwa na kupasuliwa ngeu hivyo wachaga wakawaitwa "nwabare" neno lenye maana ya waliopasuliwa. Hstoria hii inashabihishwa na uhasama na kutokuaminiana kwa makabila haya matatu mpaka leo.
 
Sijaona mahali mkizungumzia ubahili wenu uliopitiliza.
 
Nimebahatika kuishi na wapare kwa muda mrefu kiasi kwamba ninaijua vizuri sana lugha yao (hawawezi kunisema).

Ninachotaka kujua ni kwanini hupenda kutumia lugha yao kumsengenya mtu? Yaani ukibahatika kukaa mahali wapare wanazungumza kipare utagundua wanamsema mtu.
hujakaa na Wasukuma wewe... Tuna kusema huko hapo hapo hata ukielewa we don't care

 
Wapare tunaroho nzuri jaman...Nakumbuka wakati tupo pr kuna marafik zangu saa ya kurud walikuwa hawataki kupitia kwetu maana ukipita lazima ule.Na pote nilipopita kwa wapare ilikuwa hiyo lazima

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Asante kwa Historia safi. Kuna suala la kuita watu kwenye vikao kutumia "lugunda" ambayo ni pembe ndefu ya mnyama inapulizwa kuwaita watu wafike. Halafu na yowe la kipare kama imetokea vita au ng'ombe kuibiwa n.k. Endapo inatokea kitu hicho kimeisha au wavamizi wamefukuzwa yowe linapigwa "hoyoyo..." kuonyesha mwisho wa tukio hivyo hakuna haja ya watu kuja. Kuna mambo ya kugawiana maji ya kunywesha mashamba yanayoitwa "makamba". Kuna mzunguko wa kutumia maji ya mfereji hivyo "makamba" au "ikamba" linatumika.
 
Back
Top Bottom