Ijue historia ya soko kuu la Kariakoo

Nice History
 
Ni 1971 mpaka 1974 lika kamilika Sasa hi mpya sijaelewa ya 1960 na ushee. Ok imeeleweka. Na huyo mmakua alie chora hiyo ramani.
 
Ni 1971 mpaka 1974 lika kamilika Sasa hi mpya sijaelewa ya 1960 na ushee. Ok imeeleweka. Na huyo mmakua alie chora hiyo ramani.
Soko la Kariakoo lilikuja kujengwa hivi lilivyo sasa, mnamo mwaka 1967/1968, baada ya kuonekana kwamba lile lilokuwapo mwanzo halikidhi haja, kwani mji ulikuwa umepanuka na kuongezeka sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo mwaka wa ujenzi hata mm naona sio sawa,nakumbuka mwaka uliojengwa soko Hilo kwa muonekano wa sasa no huo 1974 -1975 na kampuni ya Mecco na lilifunguliwa rasmi na Mwalim Julius Nyerere, na eneo lililowekwa mahema ya shughuli hiyo ni upande wa magharibi mwa soko kwenye lango kuu la kuingilia.all in all nimefurahi sana na mwaka huu huo nasoma darasa la Kwanza shule ya msingi Mnazi Mmoja.
 
Kwa maelezo ya history ninayo ifahamu mimi, ujenzi wake ulichukua miaka 4 kutokana na uchache wa vifaa vya ujenzi kipindi hicho, kwa harakaharaka jengo lile lichukue mwaka mmoja likamilike? Yote heri tumekuelewa.
 
Ndio maana always nawaasa watu hapa JF kumheshimu kila mtu.. Sasa imagine wewe Rusende Kwa umri wako huu si una wajukuu kabisa humu
 
Kwa maelezo ya history ninayo ifahamu mimi, ujenzi wake ulichukua miaka 4 kutokana na uchache wa vifaa vya ujenzi kipindi hicho, kwa harakaharaka jengo lile lichukue mwaka mmoja likamilike? Yote heri tumekuelewa.
Mmh ndio ujenzi uchukue miaka minne?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…