Na ndo hivyo watu wakidai haki yao wanaambulia kutekwa, kuteswa bila huruma, kubambikiziwa kesi za uongo, kuuliwa kwa kupigwa risasi. halafu kajitu kalichoshiba maharage kwake kanakuja kuropoka mama anaupiga mwingi!!! Kwa kuteka watu, kubambikia watu kesi za uongo, na kuuwa watu wasio na hatia, ndo kuupiga mwingi?