Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,048
- 15,465
Mm naweza kipasua icho kidude au nitafute kibuyu flexibleHutengenezwa kuendana na size, ambacho sijajua ni ikitokea mashine imesimama gafla itakuwaje kwani vibuyu vyenyewe kama vyembamba kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ningepata viwili kwa ajili ya kwendea kubalizi coco beachHivi vibuyu vinapatikana Asia Mimi kuna jamaa yamgu alikuwa anafanya BARRI
Huo ni mjadala mwingine hata wazungu waarabu asili yao ni Horn Afrika.New Papua Guinea na Samoa asili yao ni EastAfrika haswa TZ, jamaa joto linawafavour kuvaa hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sipati picha vijana wavae hafu waende beach, mashine zinaweza kusimama hadi vikapasuka,Wenyeji wa Papua New Guinea na IRIAN JAYA huishi maisha kama ilivyokuwa Enzi za Adam na Eva
Mila za wenyeni hawa neno kusjisiriri linahusu sehemu moja tu kwa wamaume sehemu yenuewe ni muhimu sana kwa uwepo wao.
Wao hujisiri kwa Kuvaa KOTEKA aina ya Tunguli iliyokaushwa vizuri kabisa na wanaume hao wa Shoka hupendeza sana na kila kabila ina KOTEKA ilitodariziwa kwa Ustadi mkumbwa kabisa.
View attachment 1006406
Anafanya vema, angalau tupate ladha tofautiMkuu wewe mada zako bwana!
Juzi juzi ulikuja na uzi unaozungumzia jamaa waliojikata mashine leo tena umekuja na wengine wanazificha kwenye vipande vya miti.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Fanya uende kisha ujipige na vipicha unatupia jamvini watu waone koteka ilivyokupenza[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ni lazima tuzijue mila za wanadunia wenzetu ili tuweze kuishi kwenye Dunia ambayo kila mmoja aheshimu dini mila za mwenzake mimi nikipata fursa ya kwenda IRIAN JAYA nina hamu saaana ya kuvaa Koteka!
Ningepata viwili kwa ajili ya kwendea kubalizi coco beach
Mkuu trust me nikipata fursa sitalaza damu hivi karibuni Naelekea Dhaka Bangladesh kwa mualiko.Fanya uende kisha ujipige na vipicha unatupia jamvini watu waone koteka ilivyokupenza[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu ameyaweka Mapumbu yaninginie yapigwe na hewa sio yabanwe na jimszi bukta Mungu sio mjinga kuuaweka mbali UV rays angalia watu wavaao kanzu na chupi za cotton sperm inataka tempreture maalum vikoi pia sio vinaya unaziacha zinalelea zimapigwa upepo.Mwenye tatizo la sperm "kaunti" ajiulize mwenyewe na sio kusingizia boksa,
Maana kama ni boksa basi tuugue wengi
Sent using Jamii Forums mobile app