Ijue 'Koteka' kabla haijapotea

Ijue 'Koteka' kabla haijapotea

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo vinatengenezwa kulingana na size ya mshedede[emoji85][emoji85][emoji85]
 
New Papua Guinea na Samoa asili yao ni EastAfrika haswa TZ, jamaa joto linawafavour kuvaa hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ni mjadala mwingine hata wazungu waarabu asili yao ni Horn Afrika.
Kama huyu msomali angekuwa
Albino
5121q.jpg
 
Wenyeji wa Papua New Guinea na IRIAN JAYA huishi maisha kama ilivyokuwa Enzi za Adam na Eva

Mila za wenyeni hawa neno kusjisiriri linahusu sehemu moja tu kwa wamaume sehemu yenuewe ni muhimu sana kwa uwepo wao.

Wao hujisiri kwa Kuvaa KOTEKA aina ya Tunguli iliyokaushwa vizuri kabisa na wanaume hao wa Shoka hupendeza sana na kila kabila ina KOTEKA ilitodariziwa kwa Ustadi mkumbwa kabisa.
View attachment 1006406
Sipati picha vijana wavae hafu waende beach, mashine zinaweza kusimama hadi vikapasuka,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni lazima tuzijue mila za wanadunia wenzetu ili tuweze kuishi kwenye Dunia ambayo kila mmoja aheshimu dini mila za mwenzake mimi nikipata fursa ya kwenda IRIAN JAYA nina hamu saaana ya kuvaa Koteka!
Fanya uende kisha ujipige na vipicha unatupia jamvini watu waone koteka ilivyokupenza[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sababu hawa jamaa hawajawahi kufuga mufugo yenye ngozi ngumu km Ng'ombe walikuja na Akili ya ajabu Sana ya kutumia Ngoma za Mianzi hebu sikiliza kipanfe hichi ubururudike mwenyewe.
 
Kitu kingine hicho Cha ngoma za Mianzi wacha kabisa.
 
Mwenye tatizo la sperm "kaunti" ajiulize mwenyewe na sio kusingizia boksa,
Maana kama ni boksa basi tuugue wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu ameyaweka Mapumbu yaninginie yapigwe na hewa sio yabanwe na jimszi bukta Mungu sio mjinga kuuaweka mbali UV rays angalia watu wavaao kanzu na chupi za cotton sperm inataka tempreture maalum vikoi pia sio vinaya unaziacha zinalelea zimapigwa upepo.
 
Hawa jamaa sio wakulima kwa hiyo wanga wa ugali wanapata Kutoka katika Mti wa Sego ila wameanza kupelekewa Viazi na Mihogo.
 
Kutokana na kuishi kwenye Mapori mazito yenye Tandu wakubwa kama mguu wa mtoto na kuepuka makabia hasimu nyumba zao hujenga juu ya Miri.
 
Back
Top Bottom