Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tofauti ya uncircumcised na govilised ni ipi mkuu? [emoji23][emoji23][emoji23]wazungu wko sahihi waliikuta Africa ikiwa ni barbaric, uncircumcised, uncivilisd, govilised,pimitive. hiko ni kitu sasa
MBWEMBWE hizo ili wasioelewa kikoloni basi waelewe kupitia cha kunyumba,Tofauti ya uncircumcised na govilised ni ipi mkuu? [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
angalia usije kupewa ya mtoto mchanga na ikakutosha,kesho yake tu ukageuza na lidreamliner la mapema😂😂😂😂😂Ni lazima tuzijue mila za wanadunia wenzetu ili tuweze kuishi kwenye Dunia ambayo kila mmoja aheshimu dini mila za mwenzake mimi nikipata fursa ya kwenda IRIAN JAYA nina hamu saaana ya kuvaa Koteka!