Ijue kwa undani nchi ya Brunei ambako Raia hawalipi kodi ni kula bata tu

Siyo Africa tu nchi yeyote ile ili uwe RAIA wa Brunei inabidi uwe na ujuzi

Na wageni wengi Brunei ni ma experts na mishahara yao ni minono

Kuhusu kuoa walemavu hebu Fanya research usipende kusikia sikia ,google na mitandao mingine ipo watu walioishi kule waulize

Nchi nyingi duniani kupata uraia ni mbinde ,hebu nenda kaombe uraia uswizi uone
 
Nipande ndege ipi na nauli ni shling ngapi niende uko, nikaishi na binadam, uku kwetu wanabadilika kuwa mashetani kwa lazima
 
Hizo ni faida za uongozi wa Kifalme, nchi nyingi zinazotawaliwa Na Wafalme ziko vizuri, mfano Japan, Thailand, Kuwait, Jordan, Morroco, Uingereza, Uholanzi, Belgium, Sweden, Finland n.k
Yaan me staki kujua kiongoz ni nani, me nataka maisha mazur tu basi,
 
Kuoa walemavu kwangu si tatizo, maana me nataka uhakika wa Milo motatu tu mpaka kufa kwangu, yaan nikiamka asubu tu , niwe na uwakika wa kula Milo mitatu pasipo kuumiza kichwa sana,
Halafu ndo nawaza kutafuta pesa kwa ajili ya maendeleo mengne siyo kula, ata wangenambia niishi na hao wanawake walemavu kumi.
 
 
Ni taaluma gani zinahitajika sana huko brunei mkuu? Ikiwezekana nibadili gia angani kwa hii course niliyochaguliwa chuo 🙂
 
Heri yenu nyie mlioko Brunei,huku kuna mtu kama wahsira,anataka tena kugombea na umri ule,ilhal alikuepo sirikalin tangu uhuru.
 
Unachanganya mambo.

Jinni ni kiumbe ambae wapo wengine wao ni mashetani. Kama ilivyo kwa binaadam, wapo wengine ni mashetani.

Shetani si lazima awe ni katika majinni, wapo binaadam mashetani, mfano huyu mchungaji:


Dah na mimi naenda kuchomwa moto sehemu moja na huyu jamaa ? Hapana aisee inabidi nibadilishe gia angani
 
Population ya laki nne, na utajiri wa mafuta ngoja nikatembee
 
Weka nauli tuanze kwenda huko kufanya kazi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…