Duh Heri nijiuzie visamaki vyangu angalau sihitaji hiyo sababu ikitokea mfalme akafariki na mrithi akakatisha hiyo offer si watajuta? Nimebonyezwa na watu wa Asia kuwa kuna utumwa kibao huko wa watu toka India, Bangladesh na nchi kama hizo.Rasilimali zote za nchi ni mali ya mfalme, hakuna anaeruhusiwa kuuliza mapato yatokonayo na mafuta, kutolipa kodi na huduma za bure ni kama asante tu mfalme anatoa kwa raia wake.