Duh Heri nijiuzie visamaki vyangu angalau sihitaji hiyo sababu ikitokea mfalme akafariki na mrithi akakatisha hiyo offer si watajuta? Nimebonyezwa na watu wa Asia kuwa kuna utumwa kibao huko wa watu toka India, Bangladesh na nchi kama hizo.Rasilimali zote za nchi ni mali ya mfalme, hakuna anaeruhusiwa kuuliza mapato yatokonayo na mafuta, kutolipa kodi na huduma za bure ni kama asante tu mfalme anatoa kwa raia wake.
Mtoto anaeolewa bikira sio huku uswahilini unaoa mtoto k imesuguliwaaaa mpaka imepoteza shepu na sura ya asili na sigda juu,tunaibiwa sana.[emoji2] [emoji2] [emoji2]hapa mwanawe alikuwa anaoa 12 apr 2015
hapa usafiri wake mheshimiwa
Changa!? Sijakuelewanchi yetu
changa mkuu tutafika tu huko .
Polepole ndoo mwendo.
Hiyo dar es salaam ya wakati huo hasa maisha yalikuwa karibubna huko, watu waliishi kwa umoja sana, kupendana sana, hakuna dhulma, wizi, wala huu umalaya wa sasa, maisha yalikuwa rahisi watu wakajenga majumba yaliyokuja kupewa msajili majengo kwa kigezo cha uongo,Basi laana inawapasa viongozi waliotufikisha hapa wenye jina ambalo linafanana na jina lao.
Kumbe maana ya Darusalama ni nyumba ya AMANI!?
Sisi amani na raha ipo/zipo wapi kama si umasikini wa kasi?
Huku kwetu ni mwendo wakuumizana, mtu anasubiri ujenge kijumba chako kisha kije kitiwe greda kwa sekunde tuuuu, hukumu yakivunja nyumba 5 zimevunjwa 500, hapo maendeleo yanatokea tundubgani, labda matakoniKuna vinchi vina akili sana ila njoo afrika ukutane na nchi kubwa jinga (nchi kubwa akili sawa na ardhi ya lesotho)
Kaaa kwenu ununue mkaa gunia 300,000 huko ni mwendo wa gas sio ile ya mtwara dangote ameisikia bombani, kaa kwenu ule nguruwe uote minyoo tumboni alafu dawa hakuna, kaa kwenu ujenge Kijumba kisicho na umeme makandokando wa ilalaboma analeta greda anakisomba.bado hakuna uhuru wa maamuzi yako.et pombe marufuku,mara kupigwa mawe mbaka kufa,haaaa
hata baalali yupo huko
Eee kwani huwasikiagi Viongozi wa serikali wanavyojiteteaChanga!? Sijakuelewa
Darrusallam ni mji mkuu, mkuu mimi nimeowa mtoto kutoka brunnei tunakula bata mpaka miguu yake, endeleeni na mfalme wenu na nchi ya mashetaniUkiingia google search inaonekana vizuri nimeshindwa kuchukua map, inasomeka Brunei Darussalam
Ah ah ah ahUnachanganya mambo.
Jinni ni kiumbe ambae wapo wengine wao ni mashetani. Kama ilivyo kwa binaadam, wapo wengine ni mashetani.
Shetani si lazima awe ni katika majinni, wapo binaadam mashetani, mfano huyu mchungaji:
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] We noma, umenifanya niangue kicheko ghafla.Mi nishavuka kiwango anachotaka prezda cha kuishi km shetani,nakaribia kuwa jini sasa.