Ijue kwa undani nchi ya Brunei ambako Raia hawalipi kodi ni kula bata tu

Huko huwezi pewa uraia kirahisi hivyo otherwise wamang'ati wangejaa kuomba uraia.
huoni hata wakimbizi wa syria awaendi nadhani hawapokei ovyo ovyo watu.
kuna kipindi michael jackson alikuwa anaishi huko

Ndio kukawa na fununu kuwa kabadili dinieee???
 
Ndio kukawa na fununu kuwa kabadili dinieee???
Yah ndiyo kipindi hicho.
Wana prince wao mmoja bishoo sana kila birthday huwaalika wanamziki mashuhuri wa marekani na kuwalipa maela mengi.
Ashawahi kumwalika usher raymond akamlipa ela nyingi na kumpa viatu vimenakshiwa kwa almasi, mariah carley, paris hilton na wengine kibao.
Pia mfalme wa brunei aliwahi mkodishia kinyozi ndege toka uingereza aende kumnyoa nywele.
 
Ukiingia google search inaonekana vizuri nimeshindwa kuchukua map, inasomeka Brunei Darussalam
Basi laana inawapasa viongozi waliotufikisha hapa wenye jina ambalo linafanana na jina lao.

Kumbe maana ya Darusalama ni nyumba ya AMANI!?

Sisi amani na raha ipo/zipo wapi kama si umasikini wa kasi?
 
Brudei asilimia 70 ya raia wake ni ma bilionea watupu sasa katika nchi kama hyo fikiria mwenyewe kodi inatoka wapi.
 


Hivi kuna nchi inayoitwa Brunei au hiki ni kisiwa cha Australia,
 
Huku bado mheshimiwa anatuambia tumvumilie,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…