Ijue kwa undani nchi ya Brunei ambako Raia hawalipi kodi ni kula bata tu

Ijue kwa undani nchi ya Brunei ambako Raia hawalipi kodi ni kula bata tu

wauza unga mbona kibao yule jamaa c hupelekaga huko michepuko kwa kwenda mbele
 
rols-oro-sultan-brunei.jpg
Kama hivi yani hupati nchi nyingine ni huko tu
 
Na yule mfalme nasikia anawachapa mamiss balaa na akiamka asbhi $100000 unasepa zako
 
Sahihi kabisa huwo ndio uhondo wa utawala wa shariah maanayake watawala nao kumuogopa mungu, sio hapa tunadanganyana, natumbua mjipu nafukua makaburi. Halafu ooh eti makaburi mengine hayafukuliki. Usawa uko wapi?
Nao wana scandal mwaka juzi kulikuwa na scandal ya ndugu wa mfalme kutumia pesa za serikali bilions of dollars vibaya alizifuja.
Lakini walijaribu ifunika sana japo ilifika kwenye inyernational medias
 
Mambo mswano.......nakumbuka Professor Jay aliimba kwenye nyimbo yake ya bongo Darussalam. NAMNUKUU
"Wabongo wanapenda sana starehe kuliko kazi, wanatamani wangezaliwa Brunei wamwage radhi"
Kwa hapo naamini kabisa hiyo nchi iko km mwandishi alivoelezea
 
Back
Top Bottom