Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Mara mademu wa China ni expensive (ulikubaliana na huyo jamaa aliyesema hivyo) mara narudi tena huko mademu wa Bongo matapeli, anyway ndio mara ya kwanza naona wanaume wa kibongo wanasifia wanawake wa kichina kiasi hicho, yani of all the races in this world daah wakuu hebu tembeeni aseeKabisa wale mungu kawajaalia soon naibukia tena huko maana mademu wa kibongo naona wananitapeli tu ngoja nirudi zangu china kupata raha ya milele alafu kuna mademu wa kirusi nao kwa kudeka wako fresh sana