Ijue Miji, Majiji na Miundombinu ya China - Je, Ulaya na Marekani imefunikwa?

Kabisa wale mungu kawajaalia soon naibukia tena huko maana mademu wa kibongo naona wananitapeli tu ngoja nirudi zangu china kupata raha ya milele alafu kuna mademu wa kirusi nao kwa kudeka wako fresh sana
Mara mademu wa China ni expensive (ulikubaliana na huyo jamaa aliyesema hivyo) mara narudi tena huko mademu wa Bongo matapeli, anyway ndio mara ya kwanza naona wanaume wa kibongo wanasifia wanawake wa kichina kiasi hicho, yani of all the races in this world daah wakuu hebu tembeeni asee
 
Kila mtu ana test yake ndugu. Hatuwezi fanana.
 
Dada mie nime tembea nchi tatu duniani tu russia ,sweden, china kote huku nimepita ila sehemu niliyo ona mademu wakali wenye heshima ni china na russia mademu wa sweden wabaguzi sana
 
Dada mie nime tembea nchi tatu duniani tu russia ,sweden, china kote huku nimepita ila sehemu niliyo ona mademu wakali wenye heshima ni china na russia mademu wa sweden wabaguzi sana
Mkuu nakubaliana na wanaosema uzuri upo machoni kwa mtu, lakini kwa nchi ulizotembea sikulaumu, to each their own bruh
 

G4 Beijing–Hong Kong and Macau Expressway​

The Beijing–Hong Kong and Macau Expressway, designated as G4 and commonly referred to as the Jinggang'ao Expressway is a 2,272.65 km-long expressway that connects the Chinese cities of Beijing and Shenzhen, in Guangdong province, at the border with Hong Kong.

 

G15 Shenyang–Haikou Expressway​

The Shenyang–Haikou Expressway, designated as G15 and commonly referred to as the Shenhai Expressway is an expressway in China that connects the cities of Shenyang, Liaoning, and Haikou, Hainan.
Length: 9,710 km




 
Ukiiongelea HongKong hapo Credits ni kwa Muingereza.
Ukitaka kuuona uwezo wa Uingereza kwenye ujenzi wa miundombinu, basi kaiangalie HongKong
Lile bunge lao Uingereza daah huwa nafikiri nasema hawa jamaa huwa wanatulia katika kuachia vitu haswa
 
China wananchi wake wengi ni njaa sababu ya hzo Sheria za ujamaa , ambapo serikali ndo inakuwa na hela Ila wananchi mnakuwa mapoyoyo , tofaut na ulaya ambapo jamaa wamejitanua Sana kumwezesha raia ajitawale na kumtengenezea mazingira mazuri ya kuishi kifalme, wachina tunafanya nao biashara wote wanakwambia wanahenyeshwa Sana taratibu zao ni tootough , japo serikali Yao ina pesa nyingi Sana na ndo inatengeneza miundo mbinu hiyo... Western still ni better
 
Unaongelea china ipi mzee? Hebu acha uongo


Top performers in GHI 2022 – Belarus, Bosnia & Herzegovina, Chile, China and Croatia are the top five countries in GHI 2022.

 
Anaetaka habari ya china, ulaya na Singapore,Japan,korea, Malaysia, Thailand,Veatnam, Philippines, na Australia,New Zealand, East Timor, uarabun . Brazil na Argentina. Aje hapa kuulizia. Ila kwa kifupi uchumi wa dunia umeshikamana. Kwa mfano unaweza kuona gorofa la ukweli Hong Kong lakin linamilikiwa na mzungu aliyeko London vivyo hivyo unaweza kukuta mjengo Australia kumbe unamilikiwa na mchina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…