Ijue Mikoa ambayo 90% ya Nyumba zake za Kulala Wageni zina Kunguni,Panya na Inzi wengi

Acha ubahiri wa kulala guest za vichochoroni za 5,000 au 3,000/ nenda zile zenye adhi. Au mpiga chabo maana huko wanakaa watu wa show time
 
Jaman Jaman ....... Yani sitaki kukumbuka nilivyo teseka Dodoma japokua sehem ile kwa muonekano ilionekana nzur na kwa bei ile sikufikiria kuona hata sisimizi......nilivamiwa na kunguni wasio julikana hadi nilijuta kulala Dodoma
Poyeeee
 
Mh basi hiyo kaliii hata mm lazma nishangae siku nyingne ukija useme tukutafutie sehem nzur ambayo utataman kurud kila sku
Ntashukuru sana...... Ila usije nifungulia thread[emoji6]
 
Aisee kwann umewaza hivyo
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] limenijia tuu.... Kuna mtu nilionana nae humu akaja nitolea mfano japo hakunitaja nahisi next time nitatajwa na mwingine
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] limenijia tuu.... Kuna mtu nilionana nae humu akaja nitolea mfano japo hakunitaja nahisi next time nitatajwa na mwingine
Jichunguze na ujitafakar watu wa kufahamiana nao tunajifunza kupitia makosa hata mm kuna watu nilifahamiana nao lakin saiv wanakuja kunikejel kwenye comment

Kiukweli watu kama hao ni wa kuwapotezea tu maana yeye atakuwa anaumiza kichwa kukuzungumzia ila wewe huna habar nayeee
 
True[emoji4]
 
Kuna mwana alinihadithia eti kuna guest mkoani alivyolipia mapokezi akapewa mshumaa kwajiri ya umeme kukatika pia alipewa na paka kaajiri ya kumlinda dhidi ya panya.

Ulikataa kumchukua paka lakini alipolala usiku alirudi mapokezi kumuomba yule paka...
 
Mkuu umesahau na lile jiji letu pendwa ile new York ya Tanzania kuna guest nyingi lkn hao viumbe uliowataja wanapishana kwenye makorido!
Ila kwa ndugu zangu hao
Dodoma
Kigoma
Singida na kagera wanaongoza kwakweeeli!
Pia umewasahau bukoba kwa kuweka manyloni kwenye magodoro.
Mkuu kwani we ni entomologist!?
 
Punguza ushamba we bwege
 
Sikujua km uko mbweha hivyo musoma ukailinganishe na bukoba wakati kwa asili nyie watu wa mara ni wachafu balaa mnanuka km dagaa waliooza
 
Miss you baby girl
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…