Lukwafya bhagasi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 1,236
- 1,252
Pole kapeace[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] tatizo tu hujamuelewa gentamycine alichomaanisha na ndo maana ametaja mikoa minne tu hapo!Punguza ushamba we bwege
Yaani na vyuma vilivyokaza nihangaishe kichwa changu kumuelewa punguani genta????Pole kapeace[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] tatizo tu hujamuelewa gentamycine alichomaanisha na ndo maana ametaja mikoa minne tu hapo!
Ukiingia ndani zaidi utaielewa akili ya gentamycine ilikofikiria sasa badala yake wewe kapeace umeatack kwa matusi na jaziba zaidi.
Mchepuko sio diliJaman Jaman ....... Yani sitaki kukumbuka nilivyo teseka Dodoma japokua sehem ile kwa muonekano ilionekana nzur na kwa bei ile sikufikiria kuona hata sisimizi......nilivamiwa na kunguni wasio julikana hadi nilijuta kulala Dodoma
Mie hua sichepukiMchepuko sio dili
Mh!Mie hua sichepuki
Kweli
Ngoja ninyamaze tuKweli
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Ngoja ninyamaze tu
Asanteee dadaaaaMiss you baby girl
uongo uliotukuka... basi london kusingekuwa na kunguni... wewe utakuwa unaishi kwa kubahatishaMara nyingi kunguni huwa hawaishi kwenye baridi, Nimekaa Arusha sana sijawahi kuona Kunguni.
Nikiwa kama Mtanzania ambaye nimewahi ama kupata bahati sana ya kutembelea karibu 98% ya Mikoa iliyopo nchini Tanzania nimegundua ya kwamba kuna Mikoa ambayo ukibahatika tu kuitembelea na kama huko huna Mtu unayemjua basi ikitokea tu ukaamua kwenda Kulala / Kumbonji Gesti au Loji basi jiandae kuwa mvumilivu wa Kuumwa na Kunguni kama siyo Kusumbuliwa mno na Panya na kila mara Kuzingirwa na Inzi.
Kwa kuanza kabisa nichukue fursa hii Kuipongeza hii Mikoa ifuatayo kwa kuwa na Gesti au Loji nzuri ambazo nimejaribu kwa juhudi zangu zote kutafuta Kunguni,Panya na Inzi huku na kule lakini sikubahatika kukutana nao hadi siku naondoka huko......
Mikoa ambayo kwakweli imenishangaza na ambayo siku zote nilizobahatika kuwepo huko na nikawa nimelala katika Gesti na Loji zao nikawa kila siku iwe asubuhi, mchana na jioni nafanya tu Kazi ya kupambana kutokung'atwa na Kunguni, Kusumbuliwa na Panya hadi Kuzingirwa hovyo na Inzi hadi nikakereka na kuahidi kuwa sitothubutu kwenda tena hata ikitokea nimekaribishwa ni hii ifuatayo na Mimi GENTAMYCINE nawataka wajirekebishe haraka kwani wanatutia aibu Watanzania......
- Arusha
- Mbeya
- Kilimanjaro
- Mara ( Musoma )
Ni imani yangu kubwa sana Members wa JF mnaotoka katika hiyo Mikoa yenye kuwa na Gesti au Loji zenye Kunguni, Panya na Inzi wengi mtasaidia Kupaza Sauti huko Kwenu ili aibu hii muweze Kuikwepa. Halafu mkiwa humu mijini huwa mna shobo / nyodo kweli kumbe huko makwenu hali ni tete.
- Singida
- Kigoma
- Dodoma
- Kagera ( Bukoba )
Namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwamba kwa bahati nzuri GENTAMYCINE sina Mkoa wowote ninaotoka hapo katika hiyo yote iliyotajwa kwa upande wa ile isiyo na Kunguni, Panya na Inzi wala ile ambayo inayo ila nadhani nitakuwa nimesaidia kuwatahadharisha wenyeji wa huko wachukue hatua za haraka mno.
Nawasilisha.