Ijue Mikoa ambayo 90% ya Nyumba zake za Kulala Wageni zina Kunguni,Panya na Inzi wengi

Ijue Mikoa ambayo 90% ya Nyumba zake za Kulala Wageni zina Kunguni,Panya na Inzi wengi

Punguza ushamba we bwege
Pole kapeace[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] tatizo tu hujamuelewa gentamycine alichomaanisha na ndo maana ametaja mikoa minne tu hapo!
Ukiingia ndani zaidi utaielewa akili ya gentamycine ilikofikiria sasa badala yake wewe kapeace umeatack kwa matusi na jaziba zaidi.
 
Pole kapeace[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] tatizo tu hujamuelewa gentamycine alichomaanisha na ndo maana ametaja mikoa minne tu hapo!
Ukiingia ndani zaidi utaielewa akili ya gentamycine ilikofikiria sasa badala yake wewe kapeace umeatack kwa matusi na jaziba zaidi.
Yaani na vyuma vilivyokaza nihangaishe kichwa changu kumuelewa punguani genta????

Mtukome na muache ushamba mabwege nyie
 
Jaman Jaman ....... Yani sitaki kukumbuka nilivyo teseka Dodoma japokua sehem ile kwa muonekano ilionekana nzur na kwa bei ile sikufikiria kuona hata sisimizi......nilivamiwa na kunguni wasio julikana hadi nilijuta kulala Dodoma
Mchepuko sio dili
 
Mimi kuna guest nililala manyara huko sitosahau...saa 7 ucku nkaamua kwenda kulala kwny gari lkn wakat mm nateseka na kunguni wenzangu vyumba vya jirani wanakazana tu
 
nadhani gesti zinazozungumziwa hapa ni zile za bei rahisi, ambazo pembeni au kwenye hizo gest utapata pia na pombe za kienyeji na umeme ukikatika kunawashwa taa za chemli ,popote utakapo lala gesti za aina hiyo utakua mtu wa ajabu sana ukiwashangaa kunguni
 
Mara nyingi kunguni huwa hawaishi kwenye baridi, Nimekaa Arusha sana sijawahi kuona Kunguni.
uongo uliotukuka... basi london kusingekuwa na kunguni... wewe utakuwa unaishi kwa kubahatisha
 
Ukisikia mtu anamsifia kunguru basi ujue kamnyea... possibly uliwabeba place moja so unaounatembea nao hiyo mikoa yote uliyopitia maana vigofu movement ikianza vinajibanza na pakitulia huchomoza... nakumbuka sana Shule boarding hii mikitu niliijulia huko.. hata ile Hostel ya Lake Manyara tuliwashwa sana na hivyo vi bugs
 
Nikiwa kama Mtanzania ambaye nimewahi ama kupata bahati sana ya kutembelea karibu 98% ya Mikoa iliyopo nchini Tanzania nimegundua ya kwamba kuna Mikoa ambayo ukibahatika tu kuitembelea na kama huko huna Mtu unayemjua basi ikitokea tu ukaamua kwenda Kulala / Kumbonji Gesti au Loji basi jiandae kuwa mvumilivu wa Kuumwa na Kunguni kama siyo Kusumbuliwa mno na Panya na kila mara Kuzingirwa na Inzi.

Kwa kuanza kabisa nichukue fursa hii Kuipongeza hii Mikoa ifuatayo kwa kuwa na Gesti au Loji nzuri ambazo nimejaribu kwa juhudi zangu zote kutafuta Kunguni,Panya na Inzi huku na kule lakini sikubahatika kukutana nao hadi siku naondoka huko......

  1. Arusha
  2. Mbeya
  3. Kilimanjaro
  4. Mara ( Musoma )
Mikoa ambayo kwakweli imenishangaza na ambayo siku zote nilizobahatika kuwepo huko na nikawa nimelala katika Gesti na Loji zao nikawa kila siku iwe asubuhi, mchana na jioni nafanya tu Kazi ya kupambana kutokung'atwa na Kunguni, Kusumbuliwa na Panya hadi Kuzingirwa hovyo na Inzi hadi nikakereka na kuahidi kuwa sitothubutu kwenda tena hata ikitokea nimekaribishwa ni hii ifuatayo na Mimi GENTAMYCINE nawataka wajirekebishe haraka kwani wanatutia aibu Watanzania......
  1. Singida
  2. Kigoma
  3. Dodoma
  4. Kagera ( Bukoba )
Ni imani yangu kubwa sana Members wa JF mnaotoka katika hiyo Mikoa yenye kuwa na Gesti au Loji zenye Kunguni, Panya na Inzi wengi mtasaidia Kupaza Sauti huko Kwenu ili aibu hii muweze Kuikwepa. Halafu mkiwa humu mijini huwa mna shobo / nyodo kweli kumbe huko makwenu hali ni tete.

Namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwamba kwa bahati nzuri GENTAMYCINE sina Mkoa wowote ninaotoka hapo katika hiyo yote iliyotajwa kwa upande wa ile isiyo na Kunguni, Panya na Inzi wala ile ambayo inayo ila nadhani nitakuwa nimesaidia kuwatahadharisha wenyeji wa huko wachukue hatua za haraka mno.

Nawasilisha.

Bro kila mkoa hao viumbe wapo asee, namna ya kuwakwepa ni kutafuta loji au gesti house standard, unaenda kulala loji za vichochoroni na za bei chee afu ushangae hyo kitu? Pole asee...alafu angalia unaweza kuwaleta hata nyumbani kwako wakiingia ktk baadh ya nguo zako, wanasafiri kwa namna hyo hasa hao kunguni
 
Back
Top Bottom