Uchaguzi 2020 Ijue mikoa ya ushindi kwa CCM

CCM siyo hivyo ,ni kishoka kama China,Cuba,Angola,Vietnan ,angalia Symbol yao.Mambo ya Democrat na Republicans wapi na wapi hata katiba ya nchi yao ipo tofauti na yetu.
Kizazi cha sasa kuongozwa na ccm kwa kweli ni matumizi mabaya ya akili zetu aisee.Yaani kuongozwa na katiba zilipendwa
 
Research uliifanyia wapi
 
Wangefanya magazijuto hayo saa ngapi , wakati utawala wa ki dictator ulipiga marufuku shughuli za vyama vya siasa kwa miaka mitano mfululizo ili Ccm wafanye wao tu ???!!!.
 
Achafuke asichafuke, Ikulu haingii ng'oo, hilo kaa nalo kichwani. Huindio ukweli mchungu
 
Msomi mjinga anaegeuka kama Kinyonga wa nini?Tafuta wasomi mamluki wachaguane.
Unachagua mpinzani kesho yake anaunga juhudi za CCM kwa kuhama chama. Utitili wa malaya wa kisiasa kwa wapinzani kwenda CCM umetuvunja moyo.
Yaani wabunge wa Chadema waliendelea kuwapanulia goli CCM hadi mwisho wa bunge hili !!!! Na labda kama bunge lingeongeza mwezi mmoja tungerudi na wabunge watano tu.
 
Wapi kuna njaa nchi hii ?
 
Sawa mwenyezi mungu muumba mbingu na dunia
 
I believe Chadema this time around watakuwa na tallying center mbili moja Tanzania na nyingine nje ya nchi,
 
Hawezi kuingia tunza post hii baada ya uchaguzi utaamini nisemayo. Unafikiri watanzania wanaakili kama yako uliyepigwa chini kwa cheti fake ?
Kama Ikulu ni Mali ya baba yako haingii
 
Hawezi kuingia tunza post hii baada ya uchaguzi utaamini nisemayo. Unafikiri watanzania wanaakili kama yako uliyepigwa chini kwa cheti fake ?
Akili zako za kale kaam jina lako lilivyo unafikiri dunia ya xaiv ya wajinga kama ww
 
Kwa hyo manyara haipo tz au amna wapiga kura huko.

Takwimu za kishenzi kweli hizi.
 
Ushindi wa wabunge wengi ni kioo cha ushindi wa jumla,
Chama kitakachopata wabunge wengi ni wazi kitachukuwa ushindi wa Raisi.
Naona watu wamejikita kwa Raisi zaidi,wanasahau kuwa mara zote ushindi wa Raisi unaendana na wingi wa wabunge tokea tuanze tena siasa ya vyama vingi.
Lakini pammoja na hilo,unategemea kuamini vipi mchakato mzima wa uchaguzi wakati mambo ya msingi ya Katiba mpya na Tume Huru yamewekwa dampo?
Sana sana ni kuvuna pressure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…