Peter Madukwa
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 3,139
- 2,488
Hivi kitabu cha Mkapa; MY LIFE, MY PURPOSE kinapatikana wapi? Nina shida nacho kwelikweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kizazi cha sasa kuongozwa na ccm kwa kweli ni matumizi mabaya ya akili zetu aisee.Yaani kuongozwa na katiba zilipendwaCCM siyo hivyo ,ni kishoka kama China,Cuba,Angola,Vietnan ,angalia Symbol yao.Mambo ya Democrat na Republicans wapi na wapi hata katiba ya nchi yao ipo tofauti na yetu.
Research uliifanyia wapiIfuatayo ni mikoa inayombeba mgombea wa CCM kwa kura nyingi ambazo zinaenda kupatia ushindi mkubwa usiotarajiwa na washindani wake kwenye sanduku la kura.
Mikoa hii ni mikoa yenye idadi kubwa ya watu na ina maelfu wa wanachama wa CCM, hivyo kama vyama shindani hawakujikita huko mapema baada ya 2015 tu kuandaa members basi wajue hawana chao Oct 2020.
Mikoa hii ni ngome kubwa ya CCM, ni vigumu sana wakaazi wa mikoa hiyo kuwahamisha, lakini zaidi ni Magufuli.
1. DODOMA
2. TABORA
3. MWANZA
4. RUVUMA
5. SHINYANGA
6. GEITA
7. RUVUMA
8. MOROGORO
9. UNGUJA JUMLA
10. SIMIYU
11. TANGA
12. IRINGA
13. KATAVI
14. RUKWA
MIKOA ambayo haipo kwenye orodha hapo juu ni ile ya kugawana kura ambapo kura ndogo zitaongeza ujazo kwenye kura nyingi zitakazotoka kundi la mikoa iliyoorodheshwa juu.
Mikoa ya kugawana ni:
1. ARUSHA
2. KILIMANJARO
3. MARA
4. LINDI
5. MTWARA
6. PEMBA JUMLA
7. MBEYA
8. SINGIDA
3. KIGOMA
Kura za mikoa hii haziwezi kumpa ushindi mpinzani yeyote kwa sababu kura nyingi watagawana na CCM.
MIKOA isiyojulikana na yenye vigeugeu ni:
1. DAR
2. MTWARA
3. KAGERA
KURA NI MAHESABU TU. KAMA VYAMA VYA UPINZANI HAWAKUFANYA MAGAZIJUTO MAPEMA, BASI WASITUMIE GHARAMA ZA MATUMIZI HAKIKA WATAPATA HASARA BURE.
Wangefanya magazijuto hayo saa ngapi , wakati utawala wa ki dictator ulipiga marufuku shughuli za vyama vya siasa kwa miaka mitano mfululizo ili Ccm wafanye wao tu ???!!!.Ifuatayo ni mikoa inayombeba mgombea wa CCM kwa kura nyingi ambazo zinaenda kupatia ushindi mkubwa usiotarajiwa na washindani wake kwenye sanduku la kura.
Mikoa hii ni mikoa yenye idadi kubwa ya watu na ina maelfu wa wanachama wa CCM, hivyo kama vyama shindani hawakujikita huko mapema baada ya 2015 tu kuandaa members basi wajue hawana chao Oct 2020.
Mikoa hii ni ngome kubwa ya CCM, ni vigumu sana wakaazi wa mikoa hiyo kuwahamisha, lakini zaidi ni Magufuli.
1. DODOMA
2. TABORA
3. MWANZA
4. RUVUMA
5. SHINYANGA
6. GEITA
7. RUVUMA
8. MOROGORO
9. UNGUJA JUMLA
10. SIMIYU
11. TANGA
12. IRINGA
13. KATAVI
14. RUKWA
MIKOA ambayo haipo kwenye orodha hapo juu ni ile ya kugawana kura ambapo kura ndogo zitaongeza ujazo kwenye kura nyingi zitakazotoka kundi la mikoa iliyoorodheshwa juu.
Mikoa ya kugawana ni:
1. ARUSHA
2. KILIMANJARO
3. MARA
4. LINDI
5. MTWARA
6. PEMBA JUMLA
7. MBEYA
8. SINGIDA
3. KIGOMA
Kura za mikoa hii haziwezi kumpa ushindi mpinzani yeyote kwa sababu kura nyingi watagawana na CCM.
MIKOA isiyojulikana na yenye vigeugeu ni:
1. DAR
2. MTWARA
3. KAGERA
KURA NI MAHESABU TU. KAMA VYAMA VYA UPINZANI HAWAKUFANYA MAGAZIJUTO MAPEMA, BASI WASITUMIE GHARAMA ZA MATUMIZI HAKIKA WATAPATA HASARA BURE.
Nani
Nani anaeshirikiana na mashoga Malaya wewe huyo mnaelenga kumchafua hachafuki ng'ooo ! Mlitaka akatibiwe muhimbili ili mummalize kenge nyie na tunauona uwepo wa Mungu kupitia uponyaji wake ingekuwa baba yako kapigwa hata risasi tatu muda huu angekuwa mifupa kenge wewe.
Msomi mjinga anaegeuka kama Kinyonga wa nini?Tafuta wasomi mamluki wachaguane.Ni kweli kabisa,na Kampeni ni lazima ufuate Sayansi...Mikoa ya Ziwa ina utitiri wa watu vijijini ambao hata matumizi y Choo kwao Ni kitendawili...wao kofia na T-shirt inatosha kabisa kumuweka Duniani!
Hii Ni ngome kuu ya wa watu fulani...na ukizingatia Ubagoshaaa! Kuna kazi kule!
Bahati nzuri kwa upinzani unakibalika miongoni mws wasomi, vijana na wajanja fulani...Hawa wengi wapo mijini...kutokana na vijiji fulani kugeuka kuwa vimiji,kwetu Karagwe tunauita Sentani' hapo Kuna kura za upinzani!
Na kwa mwelekeo huu ,ambapo pia Chama Tawala kimewekeza kwenye ,ukale,ujinga na mabavu.Bahati mbaya sana kwao kizazi kinachomaintain' status quo ya ukale ...TAA,TANU ,CCM ,NYEREREISMs kina potea kinapitea Kama Dinassours ...huu Ni msiba kwa CCM!Kwa hiyo
bila hata kuangalia uchaguzi wa Mwaka huu, CCM inapoteza waachama wake wa damu by default😂..
Na Kama itatokea Awamu ya Tano ikaendelea 😩😩 na wakawepo pale ,Polepole, Bashiru, na vile vikuu vya Mikoa fulani CCM utakuwa inajimomomnyoa' yenyewe!
Dalili hizi Ni wazi...na hivi Ni Viashiria...Mwaka huu kwa Mara ya kwanza mgombea wa upinzani Ni mpinzani🤗🤗! ;Nguvu kubwa iliyotumika kuua upinzani kwa miaka 5 haijazaa matunda;Dhana ya upinzani imeanza kujibainisha zaidi kifikra,hii Ni hatarikubwa kwa Chama chenye asili ya Ukomunisti!
Vindakiki,wafurukutwa na wakereketwa hamuwezi elewa Sayansi hii!
Hata Mara siyo yote ni Tarime tu ambako hata idadi ya wapiga ni wachache mno wala hawana athari yoyote kwa ushindi wa kishindo wa CCMKanda ya ziwa ukitoa baadhibya maeneo ya mara ni sisiemu. Asilimia 90 hiyo kumi ndio uko wewe na wadau wenzako
Wale wa kanda ya ziwa ,hawawezi kumpa Kura kwa sababu wameshashitika yuke mgombea ni raia wa Burundi.
Kama Ikulu ni Mali ya baba yako haingiiAchafuke asichafuke, Ikulu haingii ng'oo, hilo kaa nalo kichwani. Huindio ukweli mchungu
Singida hakuna upinzani pale huko anakotokea mgombea wa EU wapiga kura hawafiki hata 200,000 na siyo wote wanaomuunga mkono.Uchaguzi huu utawashangaza wakenya wa singida
Ishu sio mikoa ishu Ni umeyaumiza Makundi ya ushindi katika Jamii,si wafanyakazi, wakulima,wavuvi,wafugaji, wafanyabiashara,wanafunzi,wahitimu nk woote wanakulilia wwe umeyabomoa maisha yao Hadi wengine wamekufa,ndoa zimesamaratika, familia zimesamaratika,wako vitandani wanaumwa,Wana maumivu ya kila aina.so ishu sio mikoa Kama ilivozoeleka ishu Ni njaa.njaa ndio uangusha serikali nyingi duniani.Nchi zote stable duniani ni kwa sababu zimeweza maliza au punguza njaa kwa wapiga kura.Thus wanatumia gharama kubwa Sana kujinadi waliyofanya sababu hayaondoi njaa kwa wananchi yanagusa wachache na sio wengi.
Hata kunywa juisi haendi. Ikulu sio kwa wahuni..Kama Ikulu ni Mali ya baba yako haingii
I believe Chadema this time around watakuwa na tallying center mbili moja Tanzania na nyingine nje ya nchi,Ifuatayo ni mikoa inayombeba mgombea wa CCM kwa kura nyingi ambazo zinaenda kupatia ushindi mkubwa usiotarajiwa na washindani wake kwenye sanduku la kura.
Mikoa hii ni mikoa yenye idadi kubwa ya watu na ina maelfu wa wanachama wa CCM, hivyo kama vyama shindani hawakujikita huko mapema baada ya 2015 tu kuandaa members basi wajue hawana chao Oct 2020.
Mikoa hii ni ngome kubwa ya CCM, ni vigumu sana wakaazi wa mikoa hiyo kuwahamisha, lakini zaidi ni Magufuli.
1. DODOMA
2. TABORA
3. MWANZA
4. RUVUMA
5. SHINYANGA
6. GEITA
7. RUVUMA
8. MOROGORO
9. UNGUJA JUMLA
10. SIMIYU
11. TANGA
12. IRINGA
13. KATAVI
14. RUKWA
MIKOA ambayo haipo kwenye orodha hapo juu ni ile ya kugawana kura ambapo kura ndogo zitaongeza ujazo kwenye kura nyingi zitakazotoka kundi la mikoa iliyoorodheshwa juu.
Mikoa ya kugawana ni:
1. ARUSHA
2. KILIMANJARO
3. MARA
4. LINDI
5. MTWARA
6. PEMBA JUMLA
7. MBEYA
8. SINGIDA
3. KIGOMA
Kura za mikoa hii haziwezi kumpa ushindi mpinzani yeyote kwa sababu kura nyingi watagawana na CCM.
MIKOA isiyojulikana na yenye vigeugeu ni:
1. DAR
2. MTWARA
3. KAGERA
KURA NI MAHESABU TU. KAMA VYAMA VYA UPINZANI HAWAKUFANYA MAGAZIJUTO MAPEMA, BASI WASITUMIE GHARAMA ZA MATUMIZI HAKIKA WATAPATA HASARA BURE.
Kama Ikulu ni Mali ya baba yako haingii
Hata kunywa juisi haendi. Ikulu sio kwa wahuni..
Akili zako za kale kaam jina lako lilivyo unafikiri dunia ya xaiv ya wajinga kama wwHawezi kuingia tunza post hii baada ya uchaguzi utaamini nisemayo. Unafikiri watanzania wanaakili kama yako uliyepigwa chini kwa cheti fake ?
Sawa ndugu mungu.Achafuke asichafuke, kulu haingii ng'oo, hilo kaa nalo kichwani. Huindio ukweli mchungu
Ushindi wa wabunge wengi ni kioo cha ushindi wa jumla,Mleta Mada. Amini nakwambia, CCM hawashindi
1. RUVUMA
2.TANGA
3. MOROGORO
4. KATAVI
5. RUKWA
6. IRINGA
7. UNGUJA
Kuna mikoa ambayo kura za Magu na Lissu zinaweza kukaribiana usiniulize Kwa nini ila utakuwa unajua
1. SIMIYU
2. SHINYANGA
Kuna Mikoa Lissu/ Upinzani watashinda kwa kishindo
1. SONGWE
2. DAR ES SALAAM
3. MBEYA
4. KIGOMA
5. SINGIDA
6. LINDI
7. MTWARA
8. KILIMANJARO
9.ARUSHA
10. MANYARA
11. MARA
12. KAGERA
Tukutane October