Ijue mikono ya bandia wanayotumia walinzi au protection details za viongozi wakubwa pamoja na personal details wa VIP

Ijue mikono ya bandia wanayotumia walinzi au protection details za viongozi wakubwa pamoja na personal details wa VIP

snipa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
4,437
Reaction score
2,043
Wengi tumezoea kuona walinzi wa viongozi wakubwa wakitembea so humbly, lakini hatuelewi ni kwanini.

Principle kubwa ya protection details ni kutumia macho, macho hutumika kuscan, kiwasilisna kati yao walinzi na kutoa warning kwamba pita kushoto, hasa Kwa Wana Habari wanaorekodi.

Mfano hapa chini kama unaelewa anatomy and physiology ya body movement utaelewa mikono ilitakiwa iwe imemove vipi, lakini haikuwa hivyo.
images (1) (1).jpeg


Hawa jamaa huvaa mikono ya bandia na mikono halisi ipo ndani na wameshika silaha Tena automatic weapons, usije ukajichanganya, hapo unaweza ona jamaa hawana Chochote lakini wapo active, ukizembea hutoboi within seconds wanashoot to kill.

images (30).jpeg


Wengine huvaa mikono mmoja wa bandia wengine yote miwili na Huwa active.

images (31).jpeg


N:B for education purpose let's keep learning.


snipa
 
Mkono halisi unakuwaga ndani ukiwa Standby.
 
Back
Top Bottom