jay-millions
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 3,983
- 10,034
Andiko Bomba kabisa big up mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila hata ukiwa pale mabango yote yameandikwa 350m, ukifika juu kabisa, napo pameandikwa hivyohivyoMita 1 = Futi 3.3
350m X 3.3 =1155 ft
Nilichogundua umehesabu urefu wa mnara yaani lile zege pekee ila kumbuka juu kuna antena ya kunasia matangazo nayo ukijumlisga ndio unapaka urefu kamili wa huu mnara
Boss ule uzi wa yule jamaa tapeli aliyetapeli kupitia mnara wa ufaransa meutafuta kwa kitambo bila mafanikio ukiwa unaweza upata nisaidie link
Yaani ulikuwa unaihesababu?MBONA KUMI HAIJAFIKA SASA?
Nimecheka sana aisee, hahahaaaaNdo tayari kumi mzee au tusubiri kidogo??
Upo boss ulimuongelea nje ndaniMkuu hapa intelligence sijawahi kuliona andiko linalomwelezea yeye kama yeye zaidi ni orodha tu ya matapeli(hata mimi ninayo ipo siku nitaweka)
sasa jeYaani ulikuwa unaihesababu?
Huu ni mnara au ghorofa ?Trump Tower.
View attachment 822026
[emoji23] [emoji23] [emoji23]ElfeltTtower
Nipo bongo mkuuUmeeleweka mkuu
Ahsante kwa ufafanuzi
Bado upo Asia ?
Mi mwenyewe nautafuta mkuuNaombanitajiejina lauziau niweekee link
Sawa mkuuKazi nzuti Mkuu ila mara nyingine jitahidi kupangilia vizuri. Kwa uzi huu ungeweza kuandika yote sehemu ya uzi na sio kuchomekea kwenye comments.
Pia kuwa brief, mambo kama kutaja wachezaji 6 wa mpira kuashiria nchi unaweza ukapunguza ukataja mmoja maarufu.
Shukran kwa elimu. Naamini mazuri zaidi yanakuja