Ijue minara kumi ya kuvutia mirefu zaidi duniani

Ijue minara kumi ya kuvutia mirefu zaidi duniani

Mita 1 = Futi 3.3
350m X 3.3 =1155 ft

Nilichogundua umehesabu urefu wa mnara yaani lile zege pekee ila kumbuka juu kuna antena ya kunasia matangazo nayo ukijumlisga ndio unapaka urefu kamili wa huu mnara
Ila hata ukiwa pale mabango yote yameandikwa 350m, ukifika juu kabisa, napo pameandikwa hivyohivyo
 
Ila hata ukiwa pale mabango yote yameandikwa 350m, ukifika juu kabisa, napo pameandikwa hivyohivyo
Umeeleweka mkuu
Ahsante kwa ufafanuzi

Bado upo Asia ?
 
Boss ule uzi wa yule jamaa tapeli aliyetapeli kupitia mnara wa ufaransa meutafuta kwa kitambo bila mafanikio ukiwa unaweza upata nisaidie link
IMG_20180727_103924.jpeg
IMG_20180727_104000.jpeg
Mkuu yule tapeli aliitwa Victor Lustig ni mmoja wa matapeli kumi hatari zaidi kuwahi kutokea duniani
Alifanikiwa kuwatapeli wafanyabiashara wakubwa wa chuma nchini Ufaransa kwa kuwauzia mnara wa Paris kwa kuwatangazia tenda feki baada ya kuhifanya anahusika na Mamlaka ya zjiji la Paris
Jamaa alifanikiwa kuuza mnara huo mara mbili kiasi cha kuwafanya waliotaoekiwa kuona aibu hata kumshtaki

Nikiipata link unayoitaka nitakutumia
 
Mkuu hapa intelligence sijawahi kuliona andiko linalomwelezea yeye kama yeye zaidi ni orodha tu ya matapeli(hata mimi ninayo ipo siku nitaweka)
Upo boss ulimuongelea nje ndani
 
IMG_20180809_205233.jpeg
IMG_20180809_205301.jpeg

Huu ndio mnara Mobutu Sese Seko alioujenga jijini Kinshasa ila kwa bahati mbaya ajaondolewa madarakani ukiwa bado haujakamilika
IMG_20180809_205328.jpeg

Pia mwaka 1971 akaamuru sanamu ya Patrice Lumumba ijengwe karibu na mnara kama heshima kwa mpigania uhuru huyo mashuruhu

Licha ya kutokamilika kwake lskini ni miongoni mwa mnara mrefu barani Afrika wenye historia ya kuvutia
 
Kazi nzuti Mkuu ila mara nyingine jitahidi kupangilia vizuri. Kwa uzi huu ungeweza kuandika yote sehemu ya uzi na sio kuchomekea kwenye comments.

Pia kuwa brief, mambo kama kutaja wachezaji 6 wa mpira kuashiria nchi unaweza ukapunguza ukataja mmoja maarufu.

Shukran kwa elimu. Naamini mazuri zaidi yanakuja
 
Sawa mkuu
 
Back
Top Bottom