Ijue minara kumi ya kuvutia mirefu zaidi duniani

Ijue minara kumi ya kuvutia mirefu zaidi duniani

8/Tianjin Radio & Television Tower
77fd72790a42cbbe400105c2cad2a81a.jpg
89b4bb20e1acc2a6b9ab09ded1c0a727.jpg

Wachina bhana wanaendelea kutamba tu kama kawaida yao labda kweye list ya watu wenye macho makubwa tu ndo hawatakuwepo !!! Jamaa wanakaribia kuiebdesha dunia
Huunimnara mwingine wa mawasiliana(kurushia matangazo) ya luninga na Radio huko nchini China

Umehengwa mwaka 1991 huko Teinjin na kuliangaza jiji zima
Ujenzi wako uligharimu USD 45 Milion
Theluthi mbili ya mnara ni observation pod ambayo ina ukubwa wa mita za mraba 253

Mnara huu una urefu wa futi 1,362
 
7/Kuala Lumpur Tower
a3014c4f1ec1ada21e2489d28e090338.jpg
41f0973269c31bdd52eadbff9adac733.jpg

Unapatikana jijini Kuala Lumpur nchini Malaysia pia ukisema Malaya hujakosea ila kwao sio tusi
Ulijengwa na kukamilika mwezi Machi mwaka 1995
Kileleni kuna antena ya kunasia/kurushia matangazo na kuufanya kuwa na urefu wa mita 421
Una lifti/ngazi(ekevator) ya kumwezesha mtu kufika hadi juu kwa urahisi kabisa....hivyo hata mabonge nyanya wanavinjari tu hadi juu
Ndio mnara mrefu zaidi Kusini mwa bara la Asia

Una urefu wa futi 1,381
 
Mpaka naondoka kwenye bundle la bure bado kumi bora hazijaisha, mleta uzi Mungu anakuona aisee
Hahahaa
Njoo PM nikujazie bando
Kwani siku zote Mungu ni kipofu hadi anione leo tu ?
 
Hili wazo limeshamfikia jiwe, ngoja atajenga mkubwa kuliko yote Duniani. Wachina watakuja kusaini mikataba
 
Hili wazo limeshamfikia jiwe, ngoja atajenga mkubwa kuliko yote Duniani. Wachina watakuja kusaini mikataba
Labda mnara ujengwe kwa kutumia ugali
 
mleta mada ungejipanga kwanza ulete thread yako kwa wakati mmoja unavyileta kivipande hivi inakuwa kama mavi ya mbuzi.. usiwe kama Inna
Kana ubaona ni rahisi unachosema jaribu kufanya mkuu
Uandike na kuweka picha zen ipost zote kumi kwa pamoja

Heri mimi napost tu mavi ya mbuzi lakini yanejufanya upoteze muda kuyafuatilia
 
Kana ubaona ni rahisi unachosema jaribu kufanya mku
Uandike na kuweka picha zen ipost zote kumi kwa pamoja

Heri mimi napost tu mavi ya mbuzi lakini yanejufanya upoteze muda kuyafuatilia
sikuwa na nia mbaya mkuu.

ila watu wengi wanaishi kusoma thread basi. wachache sana wanasoma kila post.
nadhani umenielewa vibaya ngoja nikuache ila mimi nasoma post zote hata kama ukipost uharo nasoma
 
6/Milad Tower
3baec729f0550afa46f3c5639a373b75.jpg
3bc2a3713b5bf28a88b558968b3fc281.jpg

Nauzungumzia mnara na siyo mjomba wa bongo blogger Millard Ayo
Mnara huu Waarabu hupendelea zaidi kuuita Tehran Tower
Unapatikana jijini Tehran nchini Iran.....hawa jamaa wapo vizuri kiteknolojia
Mnara huu una matumizi mbalimbali,hutumika kurushia natangazo ya radio na lunnga,hutumika kwa ajiili ya biashara yaani migahawa anbayo imejengwa hapo kuwahudumia watu pia ndo chanzo cha utalii jijini Tehran ....twendeni tukatalii tusiogope mabomu ya nyuklia
Ulianza ujengwa nwaka 2000 na kukamilika ilipofika mwaka 2009 japokuwa ulianza kutumika mwaka 2007

Una urefu wa futi 1,427
 
Back
Top Bottom