Ijue mipaka ya kimamlaka kwenye video ya mzozo wa mwanajeshi na trafiki wa usalama barabarani inayosambaa mitandaoni

Tulipokuwa wavulana katika kazi tuliona ufahari kubishana pasina hoja inayoeleweka.Watakua na watajua wanachofanya ni utoto wenye kuelekea kwenye uwendawazimu.Kila mmoja anahitajika sana kulingana na majukumu,wakati na maamuzi sahihi.
 
"Alo,nakucheki sana." Kwa ajili hana silaha ndio amezungumza hivi.
Angekuwa ana silaha ule ugomvi ungekuwa mkubwa. Kwa hiyo viongozi wato WOTE lazima wawaonye askari wao.
 
Tena hatuwaiti polisi au askari.
Tunawaita 'raia wakakamavu'
 
Tena hatuwaiti polisi au askari.
Tunawaita 'raia wakakamavu'
Siku jichanganye tu upate kosa la kikawaida police akukunjie roho ndo utapoita maji mma kikosi chako kitakukataa
 
Mjeda wa wapi huyo apigwe na polisi kizembe hivyo? Tena kama ukijichanganya kwa MP's kipigo utakachopewa hautosahau.
Jidanganye wote wana train pamoja JKT wanakuja achana tu hawa wanaenda Msata course hawa CCP moshi so ni wanajuana sana tu
 
Jidanganye wote wana train pamoja JKT wanakuja achana tu hawa wanaenda Msata course hawa CCP moshi so ni wanajuana sana tu
Hilo swala la hawa kwenda Msata na wale kwenda CCP Moshi ndio linaleta utofauti kati ya wajeshi na hao paka.

Utakuwa wa ajabu sana kuamini kwamba Polisi na Wajeda wanaweza kulingana kwa mbinu na uwezo kimapigano kwa ujumla.
 
We paka umetumwa
 
Ipo hivi kwenye hilo gari yeye ndio kiongozi hapo kwa hiyo km polisi traffic alikosa nidham kwa namna yyte hile alipaswa kumuonya kama kiongozi na ndio alichofanya tena huyo traffic alipaswa apewe adhabu hapohapo ili iwe fundisho.
 
Kwa kauli zetu za depo aliongeleshwa kistaarabu sana hapo. Kule hakuna lugha soft hivo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…