Naona mwandishi alikuona katika sehemu ya pili akaelezea hilo la watu kupewa labelsTunamshukuru Nyerere alitujenga Watanzania katika hali ambayo hayo hayawezi kutokea
Na Rais Magufuli anaendeleza yale yale,wachache wanaotumiwa na mabeberu wanazidi kuaibika
Mungu ibariki Tanzania