Walipigika mbaya na marekani wakati was vita baridi kwa Tabia yao ya kuwa wakomunist pia kuwasaidis wavietnam
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pia ni moja ya nchi chache duniani yenye anga na ardhi kwa wakati mmoja.
Ebana eeeee!! Nilikuwa huko mwisho wa mwaka. Visa tunapata on arrival. Wanakula wadudu aina zote. Nilihakikisha napanda tuk tuk. Nilikuwa naogopa kula chochote kile. Nashukuru KFC iliniokoa sana.Wakati nikiwa kidato cha pili nliwahi kusoma kitabu flani kuhusu Khmer regime.
Nilitia nia kwamba ni lazima nifike Cambodia maishani mwangu. Katika harakati zangu za kula bata, nilifanikiwa kufika Cambodia mwishoni mwa mwaka 2018.
Nlijifunza mengi na kuona mengi, ntarudi ku-share nanyi.
Angkor wat is real.
View attachment 1349120