Ijue nchi ya Cambodia

Ijue nchi ya Cambodia

Wakati nikiwa kidato cha pili nliwahi kusoma kitabu flani kuhusu Khmer regime.

Nilitia nia kwamba ni lazima nifike Cambodia maishani mwangu. Katika harakati zangu za kula bata, nilifanikiwa kufika Cambodia mwishoni mwa mwaka 2018.

Nlijifunza mengi na kuona mengi, ntarudi ku-share nanyi.

Angkor wat is real.

View attachment 1349120
Ebana eeeee!! Nilikuwa huko mwisho wa mwaka. Visa tunapata on arrival. Wanakula wadudu aina zote. Nilihakikisha napanda tuk tuk. Nilikuwa naogopa kula chochote kile. Nashukuru KFC iliniokoa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom