baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 14,971
- 18,641
Jeshi la ccm/jw lina ndege za kizamani sana.kuna ka helikopter uchwara kimejichokea huwa kanazunguka hapa dar unaweza kukapiga jiwe kikaanguka
😂😂😂
Jeshi la ccm/jw lina ndege za kizamani sana.kuna ka helikopter uchwara kimejichokea huwa kanazunguka hapa dar unaweza kukapiga jiwe kikaanguka
Mkuu wala usitembee kifua mbele, siku hizi kuna kupigwa na mtu aliyepo USA ww upo Dar, yan anapiga kama anacheza gemu tu.Kwa hiyo ile midude ya IDF na USA hapo inasomeka vizuri kabisa unatuhakikishia tutembee kifua mbele kabisa
So what's up doc?Mkuu hizi habari ni nyeti zinahusu usalama wa nchi.
Hii nchi iko uchi kwenye mataifa ya wenzetu.Futa huu Uzi kwa manufaa ya Taifa lako na ww mwenyewe kuepuka maswali ikitokea miundo mbinu yetu ya kambi yetu
Hiyo technology aliipata wapi?Miaka hiyo niliskia kwamba trick aliyotumia Nyerere kushinda ile vita ni kwamba alikuwa na sumaku ya kuvuta ndege. Anavuta ndege za Uganda anapiga nembo na bendera ya Tanzania, idd amin akiona vile anatungua, kumbe katungua watu wake. Ni kweli mkuu au tulilishwa matango pori?
TrueHakuna kitu hapo...hao wote waliovaa gwanda ukiwavua hizo gwanda utakuta wamevishwa chupi za kijani zenye jembe na nyundo na picha ya mama
Yule Chacha ni mpumbavu sana, kauli yake imeefanya jeshi lichukiwe kama wanavyochukiwa polisiKazi yake ni kulinda CCM, maana ni Jeshi la CCM. Kumbe mazoezi yote mnafanya kwaajili ya kulinda maslahi ya CCM Ili iendelee kukandamiza ndugu ZENU.
Unaingia kwenye maduka ya watu unaiba unataka ulindwe?Hao walishindwa kutulinda MO29 ndio uwe mzalendo kwa faida gani waliyonayo, jana si wamesema live kwamba ni mali za ccm, sasa kodi zetu ndo zilipiwe mali za chama
Weeeee...!Kwa hiyo ile midude ya IDF na USA hapo inasomeka vizuri kabisa unatuhakikishia tutembee kifua mbele kabisa
Hii mbona ni kama karakana ya vyuma chakavu.
KummmamamamayakoUnaingia kwenye maduka ya watu unaiba unataka ulindwe?
Ukiandamana tena kunywa MAJI YA KUTOSHA.Kummmamamamayako
Manualndege za kizamani sana