MUWHWELA
Senior Member
- Oct 26, 2013
- 167
- 238
Twime tubite
Nafahamu Yale niliyochagua kuyafahamu kwa kiwango Cha ufahamu wangu, Ili hayo hayo yawe mwanga kwa wengine, hasa Katika dhana ya udadisi wa mambo.
Hakuna MTU ambaye hajawahi kusema au kukutana na jambo ambalo lilimpa uhakika wa mahala hapo kwamba hakuna kitu,yaani hakipo kabisa..mfano!! Ukipokea box la zawadi ambalo hakuna zawadi mule ndani, utasema ndani ya box licha ya kutungwa vema Lakini hujakuta kitu.
Kwanini unasema hujakuta kitu...sababu ni zaidi ya moja Lakini sababu kubwa ni hii..chochote ambacho macho yako hayawezi kuona basi hapo ni hakuna kitu,Hitimisho linakuwa Hilo.
Lakini ukiongeza umakini ndani ya Hilo box Kuna gas mbali mbali na particles ambazo Zipo Lakini kwa uwezo wa macho yetu hatuwezi kuona.. Sasa nguvu ya hakuna(nothingness )Iko wapi, na nguvu hiyo ni nini?
Kuna maisha mengine zaidi ya haya yenye ushahidi wa macho, wengine wanaweza kuwa na concept tofauti na kuzipa majina tofauti, Lakini msingi wake ni mmoja tu.. Huu ulimwengu unatembea kwenye vipimo vingi tofauti hupaswi kuhukumiwa au kuhukumu kwa kipimo KIMOJA Cha macho.
Wenzetu wenye Dini hiyo nguvu(energy) ambayo haionekani wanaita roho(spirit)kwa kuwa vipimo vingine vya energy hizo hatuwezi kuzitafsiri basi inaweza kubaki Katika kundi moja( nguvu yoyote ambayo haionekani ndiyo MUNGU MWENYEWE)
Inaweza ikaja dhana kama dhana nyingine zilizopo Leo kwamba Kuna Kuna nguvu mbaya(shetani) na nguvu nzuri(MUNGU), Mimi nafahamu kwamba ubaya au uzuri ni mtazamo wa MTU kwa mazingira yake na aina ya Fikra aliyoamua iongoze Fikra zake. Lakini nguvu ni Moja tu ambayo Haina exactly definition till today.
NB: usiishie WALIPOISHIA watu wengine, nenda nje Yao ikiwezekana ,tumia UBONGO wako kuleta Fikra mpya, Fikra zote zilizopo Leo Katika sekta zote ni concepts zilizoafikiwa na Wana jopo Fulani mahala Fulani mwaka Fulani.
Hata sisi kama watanzania au jamii ya wanajamiiforum tunaweza kuwa na aina yetu ya concept ambayo tukiishi Nayo miaka ya kesho itakuwa ni sehemu ya mafunzo wa jamii ya wakati huo.
"HAKUNA MFANO NYUMA YA MFANO, NYUMA YA MFANO KUNA IMANI"
-+++++-----
IPE AKILI KAZI