Ijue Njia Ya Uzazi wa Mpango Ya Kumwaga Nje Shahawa.

Ijue Njia Ya Uzazi wa Mpango Ya Kumwaga Nje Shahawa.

Unataka kumwaga mwenzio anakukumbatia. Tunalea mimba au iuna dada ako anafanya kazi pharmacy?
Ilishawahi nitokea Kwa bint mmoja hivi, nataka kumwaga naye kumbe alikuwa anafika mshindo alinikumbatia Kwa nguvu sana nikamwaga ndani
 
Ilishawahi nitokea Kwa bint mmoja hivi, nataka kumwaga naye kumbe alikuwa anafika mshindo alinikumbatia Kwa nguvu sana nikamwaga ndani
Afadhali ww umesema ukweli. Hiyo shughuli akili na ufahamu vyote huhama kwa muda. Eti unachomoa - tusidanganyane hapa. Hiyo sio porn bro.
 
Sioni njia hii kuwa salama kwani inahusisha kufanya tendo la ndoa halafu eti umwage mbegu nje. Ni vigumu kufanya vitu viwili kwa wakati mmoja.Pili wakati wa mshindo akili zinazidiwa watu wote wawili wanapokuwa kileleni hivyo hata akili ya kumwaga nje inakosekana.Njia bora ni ile ya kuweka kalenda ya mzunguko wa mama kabla ya hedhi na baada ya hedhi wasijamiane mama anapokaribia kuingia ute wa uzazi.watalamu wanajua zaidi kwamba ni salama
Hakika njia hii ni ngumu sana kuepusha mimba kutungwa,isitoshe pia kuna wengine mbegu utoka bila wao kuhisi mshindo kabisa,
Kalenda nayo inachangamoto kubwa,hasa kwa yule ambae siku zake ubadilikabadilika ghafla,,kiasi cha mhusika kuzisahau.,
 
Ilishawahi nitokea Kwa bint mmoja hivi, nataka kumwaga naye kumbe alikuwa anafika mshindo alinikumbatia Kwa nguvu sana nikamwaga ndani
Pole sana ni ajali kazini mkuu,hii uwatokea wengi,na mungu ni fundi mkubwa,ndivyo alivyotuumba,lengo tuzaane tuijaze dunia,.
 
Back
Top Bottom