Street Hawker
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 239
- 438
Sijakuelewa hapo uliposema nimechomezewa nyota ya Punda, ofcz nimezaliwa Morogoro.Hapana mkuu nyota kila mwezi unapozama na kuibuka zinageuka na pia mzunguko wa jua kwa mwaka unageuka kwa details ulizonipa nyota yako ni Mizani.
Ukiangalia kwenye hizo tarehe za wazungu watakwambia nyota yako ni Mashuke yaani ya 6 lakini kwa details ulizonipa kwa ujumla nyota yako ni Mizani ambayo ndio nyota ya kuifuata labda tutarudi nyuma kama utaulizia eneo na saa uliyozaliwa kupata uhakika zaidi maana nawasiwasi umechomozewa na nyota ya Punda kama tabia au mtizamo wa watu kwako
Rakims
Saa ndo sifaamu labda asubuhi niulize mkuu.Saa? Nyota inayochomoza wakati mtu anazaliwa huonyesha tabia au mwanzo wa yule mtu ndio maana umekuta jina lako pia linaanza na A
Sawa kiongozi ntakupa mrejesho, ila nimesoma hapo juu inaonesha mizani namba yake ya bahati ni 6 na 9 sijaelewa hapo Mkuu kuhusu hzo namba.Basi ukiuliza utanijulisha mkuu
Rakims
Namba za bahati hutumika kama bahati nasibu lakini pia kama siku au saa au tarehe nzuri za mwezi kinyota na mtu wa ngapi kuchukua kama ni form au kulipia kitu n.kSawa kiongozi ntakupa mrejesho, ila nimesoma hapo juu inaonesha mizani namba yake ya bahati ni 6 na 9 sijaelewa hapo Mkuu kuhusu hzo namba.
Kwa sababu watu wengi wamekuwa wakielezea kitu wasichokijua ndio maana unaweza kukuta nyota unayoambiwa ni yako inasema leo utagombana na mke wako na hali ya kuwa hata mke mwenyewe huna ndio inazidi kumpoteza mtu na kuona ni usanii tu usio na malengo mazuri,Hakuna kitu inachanganya mimi kama hii ya stars..
Mkubwa naja PmKwa sababu watu wengi wamekuwa wakielezea kitu wasichokijua ndio maana unaweza kukuta nyota unayoambiwa ni yako inasema leo utagombana na mke wako na hali ya kuwa hata mke mwenyewe huna ndio inazidi kumpoteza mtu na kuona ni usanii tu usio na malengo mazuri,
Ukijua exactly which one is your sign utaona kama ni mtu karecord mambo uako yote kisha kapost
Rakims
Sawa mkuu nahitaji huduma hamna shidaMkuu huko utalipia maana hapa nafundisha as education lakini huko utakuwa umenifuata ofisini
Rakims
Ingia pm unijulisheSawa
Rakims
Mkuu kuhusu mda wa kuzaliwa nmeuliza nimeambiwa ni asubuhi.Basi ukiuliza utanijulisha mkuu
Rakims