Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

Hapana mkuu nyota kila mwezi unapozama na kuibuka zinageuka na pia mzunguko wa jua kwa mwaka unageuka kwa details ulizonipa nyota yako ni Mizani.
Ukiangalia kwenye hizo tarehe za wazungu watakwambia nyota yako ni Mashuke yaani ya 6 lakini kwa details ulizonipa kwa ujumla nyota yako ni Mizani ambayo ndio nyota ya kuifuata labda tutarudi nyuma kama utaulizia eneo na saa uliyozaliwa kupata uhakika zaidi maana nawasiwasi umechomozewa na nyota ya Punda kama tabia au mtizamo wa watu kwako

Rakims
Sijakuelewa hapo uliposema nimechomezewa nyota ya Punda, ofcz nimezaliwa Morogoro.
 
Sijakuelewa hapo uliposema nimechomezewa nyota ya Punda, ofcz nimezaliwa Morogoro.
Saa? Nyota inayochomoza wakati mtu anazaliwa huonyesha tabia au mwanzo wa yule mtu ndio maana umekuta jina lako pia linaanza na A
 
Sawa kiongozi ntakupa mrejesho, ila nimesoma hapo juu inaonesha mizani namba yake ya bahati ni 6 na 9 sijaelewa hapo Mkuu kuhusu hzo namba.
Namba za bahati hutumika kama bahati nasibu lakini pia kama siku au saa au tarehe nzuri za mwezi kinyota na mtu wa ngapi kuchukua kama ni form au kulipia kitu n.k

Rakims
 
Hakuna kitu inachanganya mimi kama hii ya stars..
Kwa sababu watu wengi wamekuwa wakielezea kitu wasichokijua ndio maana unaweza kukuta nyota unayoambiwa ni yako inasema leo utagombana na mke wako na hali ya kuwa hata mke mwenyewe huna ndio inazidi kumpoteza mtu na kuona ni usanii tu usio na malengo mazuri,

Ukijua exactly which one is your sign utaona kama ni mtu karecord mambo uako yote kisha kapost

Mkubwa naja Pm
 
Mkubwa naja Pm
Mkuu huko utalipia maana hapa nafundisha as education lakini huko utakuwa umenifuata ofisini na pia kama utanipa kazi lakini kama ni swali la kawaida karibu

Rakims
 
Msaada Mimi nyota Yangu ni ya Simba natakiwa nioe mwanamke wa nyota IPI na ntampataje
 
Mkuu Rakims Mimi nyota yangu ni ngombe na wife nyota yake ni mshale naomba utushauri kidogo ili tuwende vizuri
 
Back
Top Bottom