Street Hawker
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 239
- 438
Sijakuelewa hapo uliposema nimechomezewa nyota ya Punda, ofcz nimezaliwa Morogoro.Hapana mkuu nyota kila mwezi unapozama na kuibuka zinageuka na pia mzunguko wa jua kwa mwaka unageuka kwa details ulizonipa nyota yako ni Mizani.
Ukiangalia kwenye hizo tarehe za wazungu watakwambia nyota yako ni Mashuke yaani ya 6 lakini kwa details ulizonipa kwa ujumla nyota yako ni Mizani ambayo ndio nyota ya kuifuata labda tutarudi nyuma kama utaulizia eneo na saa uliyozaliwa kupata uhakika zaidi maana nawasiwasi umechomozewa na nyota ya Punda kama tabia au mtizamo wa watu kwako
Rakims