Rakims
JF-Expert Member
- Jun 4, 2014
- 5,002
- 4,571
- Thread starter
- #841
Habari nimeangalia kwa jina lako na la mama thamani imekuja 873 ambayo nikigawa napata nyota ya 9 mshale lakini nikiangalia tarehe zako na mwezi naona ni nyota ya 10 hivyo nashindwa kuhukumu ni ipi nyota yako sahihi kati ya 9 na 10 labda kama ukinipa details kidogo kama ulibadiri jina au tarehe umesahau au unitajie na mwakaKuzaliwa Jan 13,siku ya j'mosi
Jina Getrude, Jina la mama Hilda.nyota yangu ni ipi
Rakims