Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

Kuzaliwa Jan 13,siku ya j'mosi
Jina Getrude, Jina la mama Hilda.nyota yangu ni ipi
Habari nimeangalia kwa jina lako na la mama thamani imekuja 873 ambayo nikigawa napata nyota ya 9 mshale lakini nikiangalia tarehe zako na mwezi naona ni nyota ya 10 hivyo nashindwa kuhukumu ni ipi nyota yako sahihi kati ya 9 na 10 labda kama ukinipa details kidogo kama ulibadiri jina au tarehe umesahau au unitajie na mwaka

Rakims
 
Mnanishangaza sana member mnaosema maneno ya ajabu hapa na kupinga vikali nyota kisha mnakuja pm kuomba kuangalizia nyota.
Unafiki sio jambo zuri

Rakims
Mkuu, kati ya nyota ya nina na ya siku ya kuzaliwa ipi ina nguvu saana?
 
Mkuu Rakims; hayo "MAFUSHO" yana faida gani kinyota?
Unaweza kuyatumia kupata unachotaka vile vile kungarisha nyota yako na unayatumia kwa kufuata tabia ya nyota ya maada ya nyota

Rakims
 
Mkuu, kati ya nyota ya nina na ya siku ya kuzaliwa ipi ina nguvu saana?
Ukizichanganya details zote mbili unapata nyota moja ambyo ni sahihi kwako zingine zinakuwa part of your astrology chart
 
Unaweza kuyatumia kupata unachotaka vile vile kungarisha nyota yako na unayatumia kwa kufuata tabia ya nyota ya maada ya nyota

Rakims
aisee sijaelewa hata!! maada ya nyota nini?
je unapokwenda kununua hayo mafusho ukipewa tofauti utajuaje? maana hujui mafusho yenyewe
 
Habari nimeangalia kwa jina lako na la mama thamani imekuja 873 ambayo nikigawa napata nyota ya 9 mshale lakini nikiangalia tarehe zako na mwezi naona ni nyota ya 10 hivyo nashindwa kuhukumu ni ipi nyota yako sahihi kati ya 9 na 10 labda kama ukinipa details kidogo kama ulibadiri jina au tarehe umesahau au unitajie na mwaka

Rakims
jina HASSAN. jina la mama TATU, tarehe ya kuzaliwa 4 january
 
13 Jan 2001,ilikua midnight
Kwa hapo nyota yako ni nyota ya ni nyota ya 9 yaani mshale hasa ukizingatia mwaka uliozaliwa mwezi huo nyota ya 10 ilikuwa bado haijachomoza
 
13 Jan 2001,ilikua midnight
Kwa hapo nyota yako ni nyota ya ni nyota ya 9 yaani mshale hasa ukizingatia mwaka uliozaliwa mwezi huo nyota ya 10 ilikuwa bado haijachomoza
 
Nimeona kasema malaika anaetoa roho za watu nikasema wale wale [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naomba kuuliza, hivi mada kama hii ukitaka kui save na pengine ui print una tumia njia gani, maana mtoa mada alikataa kunirushio hii pdf.naomba msaada tafadhari
 
Mkuu naomba nirushie hii thread..nikwa matumizi binafsi na sio utaperi.au nielekeze namna ya kuipata
Habaria mkuu,
Kuna wengi youtube wamecopy hii thread nzima na kufanya wao ndio wahusika ni mimi lakini vile vile wengi wameopy blog yangu na thread zangu nyingine humu nyingi tu sasa kama unashida nayo mimi siwezi kukupa bado nadeal na copyright content zangu zote kwanza
 
Back
Top Bottom