Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

Asante
 

Kazi yangu nimemaliza,ajabu hujajibu hoja hata moja kielimu,ila ashukuriwe Allah kwa kuwa ushajua haya unayo yafanya ni makosa basi Allah akufanyie sahal utoke huko ulipo.

Katika nasaha ovu halitolewi katika mtindo unaotaka wewe. Jambo limetokea hapa na mhusika upo unataka nikaanzishe mada kwingine ili iweje na huo ni ujinga wa kupigiwa mfano.

Sio kwamba nimeiona kesho na kamwe siwezi kuiona ila kesho niliyoisema ni kutokana mafundisho ya Uislamu na kesho yako niliyoisema ipo katika sharti la kwamba "Kama hutabadilika na kurudi kwa Mola wako hali ya kunyenyekea,hakika mwisho wako utakuwa mbaya" na Allah ameshasema mwenyewe "Habadilishi yale waliyo nayo watu mpaka wenyewe kwanza watake kubadilike" au kama alivyosema Allah aliye juu.

Sasa ungekuwa unapinga haya unayoyafanya kwa Qur'aan na sunnah ingekuwa bora sana lakini ajabu una lalamika.

Nimemaliza ...
 
Kuna uhusiano gani kati ya vitu hivi:-
1. Nyota nizionazo angani
2. Nyota za watu
3. Majina ya nyota za watu
4. Tarehe ya kuzaliwa
5. Majina ya watu

Ukitoa maelezo yanayoeleweka yanayounganisha vi2 vyote hapo juu basi sitokuwa na budi kukubaliana ba wewe...
 
wewe wengi kwenye forum humu wanakujua ni MNAFIKI. ulikuwa MNAFIKI upo KINAFIKI na utabaki kuwa MNAFIKI,
Wala hayo situngi ila unajulikana vema UNAFIKI wako.

Nimemaliza...!

Rakims
 

Mkuu uhusiano uliopo katika vitu vitano ulivyo vitaja mimi naona ulikuwa na maana ya nyota 2 tu yaani kuna uhusiano gani baina ya nyota ya mtu na jina la mtu na majina ya watu hili ni jambo moja unalizungumzia kwamba kuna uhusiano gani Nyota ya mtu na nyota ya (nyota zinazoonekana angani na tarehe na ya kuzaliwa hiki ni kitu kimoja mkuu) hivyo tutasema nyota za Angani,

Sasa jibu:
Uhusiano uliopo kati ya nyota za angani na binadamu ni kwamba nyota za angani kuna mtindo huwa zikikaa mfano kwenye picha hapa:


Kila mwaka nyota hizi kati ya tarehe 21 march hadi 20 April humo katikati tukio la nyota hizi kujipanga hivyo huwa haligeuki fuatilia utajua na huwa zinatoa miale zaidi kuliko nyota za pembeni yake tukio hili ndio wakaamua kuliita Punda/Kondoo tukio hili kwa sababu mnyama tajwa hapa alikuwa akikaa kila mara kwenye mtindo huu na kutokea kupewa jina hilo kama una kondoo au Punda muweke nje usiku wa Aries Sign utaona ishara atakayo kuwa kakaa. kwa hiyo uhusiano uliopo hapo ni wa kufananisha matukio ya chini na alama za juu kama ilivyo dalili ya mvua mawingu basi na Aries hivyo hivyo ndio watoto jinsia kubwa waliokuwa wanatunga mimba humo walikuwa wa kiume na pia majina mengi yaliyokuwa yakitolewa humo yanathamani ya helufi hizo na yanaendana hivyo mkuu. Nyota ni muendelezo wa matukio yaliyopita yaliyopo na yanayoonekana kutokea kutokana na historia



Ikiwa nimekujibu tofauti na ambavyo hukutegemea, basi jitahidi kusoma na wewe I'm sure jibu utalipata

Rakims
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…