Rakims
JF-Expert Member
- Jun 4, 2014
- 5,002
- 4,571
- Thread starter
- #161
Mapenzi aliyonayo kaa humfanya mapacha akidhi mahitaji yake ya kimapenzi, utulivu wa maneno ya mapacha nao humfanya Kaa kutuliza na kuliwazika sana. lakini mapema tu nyota ya Mapacha hugeuka kimapenzi na kuanza kusababisha majeraha ya moyo kwa kaa ambaye yeye huwa busy na kujenga au kupangilia familia yake. Tabia za mapacha kutongoza au kutongozwa hovyo huwa zinamkosesha amani kaa na kumuweka katika hisia za maumivu hawa wawili wanaweza kukaa kwa muda mrefu kwa kuwa tu kaa huwa mvumilivu lakini pale ambapo kaa atataka kufuata hisia zake na kufunga nyota hii kichomi ya mapacha wakati huo yenyewe huwa inahitaji uhuru wa kujiachia basi maneno mabaya ya Mapacha na kero humfanya Kaa kujiengua na Mapacha hujihisi uhuru nae kaa huhisi katoka kifungoni.Nyota ya mapacha na kaa zinaendana kwenye mahusiano ya kimapenzi
Rakims